Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 147)
FEATURE
on Jan 5, 2024
443 views 4 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto kwani vinasababisha watoto wengi kukimbia familia zao na kukosa makao maalum. “Jamii na Watanzania kwa ujumla kila mmoja ashiriki katika kulinda haki na […]

FEATURE
on Jan 4, 2024
380 views 5 mins

Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa* Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi* Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada* Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]

FEATURE
on Jan 4, 2024
363 views 3 mins

Msemaji Mkuu wa Serikali ambae pia ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Bwana Mobhare Matinyi ametembelea ujenzi wa Reli ya Kimataifa SGR kipande cha kwanza Dar Es Salaam – Morogoro katika stesheni ya Dar Es Salaam, January 03, 2024. Lengo la ziara hiyo nikujionea maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR pamoja na kufahamu maandalizi […]

FEATURE
on Jan 3, 2024
318 views 2 mins

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Daniel Mushi kuuondoa Uongozi mzima wa Mnada wa Pugu kwa kushindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato. Waziri Ulega ametoa maelekezo hayo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika mnada huo mapema leo Januari 3, 2024 kwa lengo la […]

FEATURE
on Jan 3, 2024
425 views 3 mins

Na Happiness Shayo Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetia saini mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji wa Wanyamapori (Special Wildife Investment Concession Areas – SWICA) yenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 278, sawa na shilingi za kitanzania Bilioni 696 kwa ajili ya kuendeleza […]

FEATURE
on Jan 3, 2024
496 views 4 mins

Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia* Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka […]

FEATURE
on Jan 2, 2024
347 views 32 secs

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Mhe. Abdulrahman Kinana ameendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye maeneo mbalimbali nchini na kufanikiwa kufika Wilaya Ruangwa mkoani Lindi. Akiwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano mkuu CCM Wilaya ya Ruangwa, Kinana ametoa salaam za Rais Samia kwa wakazi wa […]

FEATURE
on Jan 2, 2024
555 views 49 secs

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Mbeya. Jeshi la Polisi limesema mtuhumiwa Lucas Tarimio aliyekamatwa disemba 31,2023 kwa tuhuma za kumchoma visu na kusababisha kifo Beatrice Minja leo Januari 02,2024 amefariki dunia huko wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro. Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msadizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime […]

FEATURE
on Jan 1, 2024
459 views 3 mins

Asema Maelekezo ya Rais Dkt. Samia katika salam za Mwaka Mpya yatafanyiwa kazi* Ajumuika na wananchi Bukombe kuukaribisha Mwaka 2024* Atoa salam za Mwaka Mpya 2024* Bukombe – Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu nchini, usiwe kigezo cha kugawa […]