Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imetoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. โMahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara […]
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali inatambua mchango mkubwa wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutangaza amani, upendo, maadili, na usawa miongoni mwa wananchi wa Tanzania bila kujali tofauti zao za kiimani, kisiasa, au kijamii. Bashungwa ameeleza hayo jijini Dar es Salaam […]
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imejipanga katika kuendelea kuimarisha na kuboresha uwezo wa Mawakili wa Serikali nchini, hayo yamesemwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari wakati akizungumza na kwenye Mkutano maalaumu na vyombo vya habari uliofanyika tarehe 19 Machi, 2025 katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kivukoni Jijini, Dar es […]
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalum Songo Songo Mkoani Lindi kujionea hali ya miundombonu ya uzalishaji na uchakataji wa gesi asilia, na utekelezaji wa miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) unaofanywa na kampuni za utafutaji na uzalishaji wa gesi asilia kisiwani humo. Kupitia […]
๐ MRADI*Unahusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Iringa hadi Sumbawanga* ๐ *Kapinga asema Mkoa wa Rukwa kuunganishwa na gridi ya Taifa kupitia mradi wa TAZA* ๐ *Serikali yatoa Bilioni 21.4 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi* ๐ *Wananchi Wilaya ya Mufindi kunufaika na mitungi ya Ruzuku* Serikali imesema kuwa, itaukamilisha kwa wakatil mradi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya dawa na tiba asilia TMDA yamtakia MHE RAIS SAMIA Kwa kufikisha miaka minne Katika kutumikia nchi ya Tanzania Kwa miaka hiyo aliyokuwa madarajani na kufanya mapinduzi Katika maswala ya Afya TMDA imesema Mhe Rais ameyafanya makubwa Kwa kujua huduma za wananchi wake Kwa Kupitia wizara ya […]
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa jitihada zake katika kusimamia Sekta ya Maji. Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na EWURA ili kuhakikisha huduma za maji kwa wananchi zinaimarika. Dkt. Biteko alitoa pongezi hizo leo, Jumatano tarehe […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ Azindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji mwaka 2023/24 ๐ Upotevu wa maji wasababisha hasara ya shilingi bilioni 114.12 ๐ Maganzo yaibuka kidedea, Rombo yavuta mkia utoaji wa huduma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji kwa […]
1. Kwa Waswahili unaitwa Mwarobaini kwa sababu unatibu magonjwa arobaini. 2. Kwa Wahindi unaitwa Duka la Dawa la Kijiji kwa sababu unatibu magonjwa zaidi ya 100. 3. Kuanzia mizizi, magome, matawi, majani, maua mpaka mbegu ni dawa! Ukiupanda unakaa miaka 200! 4. Mti huu upo karibu kila kona ya Dunia. Kwa Tanzania upo mwingi Dodoma! […]