Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 155)
FEATURE
on Dec 4, 2023
298 views 2 mins

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeingia mkataba wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba bay iliyopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, mradi utakao gharimu kiasi cha shilingi bilioni 75.8 ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24. Akizungumza na wananchi katika hafla ya utiaji saini mkataba huo, Waziri wa Uchukuzi Prof. […]

FEATURE
on Dec 4, 2023
444 views 4 secs

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , ametoea maelekezo yafuatayo. 1 Amuelekeza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuwa Serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. 2 Majeruhi wote wapatiwe matibabu yote yanayostahili kwa […]

FEATURE
on Dec 4, 2023
297 views 49 secs

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wananchi Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara hususani waliokumbwa na janga la mafuriko, kwamba maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, yatatekelezwa kikamilifu. Cde. Kinana ameyasema hayo leo tarehe 4 Desemba, […]

FEATURE
on Dec 4, 2023
461 views 38 secs

> Mwenezi Makonda awasihi Wananchi kufuata maelekezo ya Serikali. > Awaomba Viongozi wa Dini kuendelea kuliombea Taifa ili mvua kuwa sehemu ya Baraka ” Wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi wanaungana na Mwenyekiti wetu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa ndugu zetu wa Mkoa wa Manyara […]

FEATURE
on Dec 4, 2023
418 views 2 mins

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, pamoja na Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wamefika katika kijiji cha Gendabi kata ya Gendambi Wilaya ya Hanang mkoani Manyara eneo yalipotokea mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya watu, majeruhi na uharibifu mkubwa wa […]

FEATURE
on Dec 3, 2023
264 views 5 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha awamu hii ya uongozi kwa kutekeleza mikakati na sera zinazolenga kuondoa ubaguzi na kukuza usawa wa kijinsia. Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Desemba 3, 2023) wakati akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria kilele cha maadhimisho ya tatu ya kumbukumbu ya kumuenzi mwanasiasa mkongwe, Bibi […]

FEATURE
on Dec 2, 2023
336 views 36 secs

Mashindano ya klabu bingwa barani afrika hatua ya makundi imeendelea leo Jumamosi December 02,2023 kwa kuchezwa michezo mbalimbali huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na Yanga. Yanga imejitahidi kucheza Zaidi ya waarabu hao ambao gemu ilikuwa ngumu lakini waliweza kuoneshana ubabe Kwa kipindi Cha kwanza kutoweza kupata matokeo na kipindi Cha pili kupata magoli Moja Moja […]

FEATURE
on Dec 2, 2023
398 views 3 mins

Ampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha demokrasia Ahimiza wanaume wakapime VVU, wasitegemee matokeo ya wenza wao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza matembezi ya amani, maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan na kuwataka viongozi wa dini waendelee kusisitiza amani miongoni mwa waumini wao. โ€œViongozi wa madhehebu ya dini endeleeni kuwahimiza waumini wenu kulinda amani […]

FEATURE
on Dec 2, 2023
353 views 2 mins

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Ndugu Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuliongoza kanisa hilo, kwa mara nyingine. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Jumamosi, Disemba 2, 2023, Askofu […]