Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ongezeko la fedha za kujikimu Kwa siku kutoka Tzs 8500/= Hadi Tzs 10000/= Makusanyo ya mkopo iliyoiva (Machi 2021-Februariย 2025) Tzs 650.25 Bilioni Kuanzishwa Kwa Samia Scholarship 2022/2023 imenufaisha wanafunzi 3,696 Kuanzishwa Kwa mikopo ya stashahada 2023/2024 imenufaisha wanafunzi 9.959
Mtia nia wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, baada ya kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Urais, tarehe 14 Machi 2025, mjini Morogoro, kupitia tiketi ya Chama cha NLD. Kwa mujibu wa kanuni ya Chama cha NLD, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA โข _*Awahimiza kuzingatia afya zao kuepuka magonjwa, changamoto ya afya ya akili*_ ๐ *Dodoma* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini kuzingatia uadilifu na maadali katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuhakikisha Sekta ya Madini inakua na kuendelea kuongeza […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Shirika la Kijamii linaloitwa APHI FOUNDATION, lenye makao makuu Jijini Mwanza linaendelea na matembezi yao ya Hisani waliyoyaratibu na sasa wamevuka Jijini Dar es Salaam na muelekeo ni Visiwani Zanzibar lengo ikiwa nikufika mpaka Kizimkazi alipozaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi mtendaji […]
Na Mwandishi Wetu , Zanzibar Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara ya Itikaadi, Uenezi na Mafunzo imemuasa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ,Othman Masoud Othman, kuepuka fikra zozote za kutamani kurithi sera za Kiongozi wa zamani wa UNITA, Jonas Savimbi. Aidha azma ya kufikia uamuzi wa kutaka kuweka kando maridhiaono ya kisiasa Zanzibar na kuanzisha mapambano […]
Na.Lusungu Helela- ROMBO Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) ni chombo muhimu kwa ustawi na maendeleo ya Taifa la Tanzania na Watu wake. Amesema ndoto ya Tanzania ijayo haiwezi kutimia bila uwepo wa chombo hicho. […]
*๐Serikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa* *๐ Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza REA na TANESCO* *๐ Zaidi ya asilimia 98 ya Vijiji vyote Njombe vina umeme* *๐NJOMBE* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI: BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani ina uwezo wa kuhudumia kontena 300,000 kwa mwaka ni mara tatu ya Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa. Msigwa ameeleza hayo leo Machi 16 wakati akizungumza waandishi wa habari eneo la bandari hiyo, ambapo […]