*๐Serikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa* *๐ Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza REA na TANESCO* *๐ Zaidi ya asilimia 98 ya Vijiji vyote Njombe vina umeme* *๐NJOMBE* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI: BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani ina uwezo wa kuhudumia kontena 300,000 kwa mwaka ni mara tatu ya Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa. Msigwa ameeleza hayo leo Machi 16 wakati akizungumza waandishi wa habari eneo la bandari hiyo, ambapo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados ๐ Wakubaliana kuwekeza katika Ushirikiano Sekta ya Utalii na Maji ๐ Nishati Safi ya Kupikia, M300 kivutio cha mazungumzoย Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mhe. Mia […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Climate Investment Funds (CIF) Bi. Tariye Gbadegesin Mjini Bridgetown, Barbados. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Machi 14, 2025 kando ya Mkutano wa Kimataifa wa kuhusu upatikanaji wa Nishati endelevu kwa wote […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kupitia ruzuku wanayotoa kwa kaya masikini, imewezesha mahudhurio ya watoto kutoka kaya hizo kuongezeaka kwa asiimia sita. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Malipo ya Walengwa kwa Mtandao, Josephine Joseph alipokuwaakizungumza kaktika Kongamano la Wadau wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kupitia ruzuku wanayotoa kwa kaya masikini, imewezesha mahudhurio ya watoto kutoka kaya hizo kuongezeaka kwa asiimia sita. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Malipo ya Walengwa kwa Mtandao, Josephine Joseph alipokuwaakizungumza kaktika Kongamano la Wadau wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa […]
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MTAALAM wa Masuala ya Hifadhi ya Jamii kutoka, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tanzania (PSSSF), Valentino Maganga amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka kutoka shilingi trilioni 6 hadi 10. Maganga amesema hayo leo mjini Dodoma, wakati wa Kongamano la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini kwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130 huku ukiwa unafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka 10. Mhe. Mwinjuma ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge ya […]
๐ TAWA yaagizwa kurejesha Hifadhi ya Kilombero katika uasili wake Na Mwandishi wetu – Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Wakili Sebastian Waryuba amewataka wananchi waliohama kwa hiyari kutoka katika Kijiji cha Ngombo ambacho awali kilikuwa ndani ya Pori la Akiba Kilombero ambao bado hawajalipwa fidia zao wajitokeze na kufika katika Kata ya Biro […]