Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 171)
FEATURE
on Oct 4, 2023
584 views 40 secs

> _Atoa shukrani kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kumuamini na kumteua._ > _Ahaidi kufanya kazi kwa ushirikiano wa kutosha._ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amepokelewa rasmi alipowasili katika Ofisi za CCM Makoa Makuu Lumumba Jijini Dar es salaam. […]

FEATURE
on Oct 4, 2023
327 views 37 secs

Leo Oktoba 4, 2023, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwaย  Kassim Majaliwa amekabidhi hundi ya Tshs Milioni 500 kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) katika uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa jijini Dar-es-salaam. Akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhuย  Hassan katika halfa ya […]

FEATURE
on Oct 3, 2023
416 views 5 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa maelekezo kwa Wizara ya Uchukuzi, Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa ATCL kuhakikisha wanatimiza wajibu wa kusimamia vizuri utoaji huduma za usafiri wa anga ili kuimarisha ushindani Kikanda na Kimataifa na hivyo kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa. Makamu wa […]

FEATURE
on Oct 3, 2023
353 views 5 mins

*Aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani * Dodoma nako awasha moto, 11 wasimamishwa kazi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ameagiza ujenzi […]

FEATURE
on Oct 3, 2023
406 views 2 mins

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt Jabiri Bakari, ameahidi kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) itaendelea kuunga mkono wanahabari wa mitandao ya kijamii nchini na kuratibu utatuzi wa baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo huku akisisitiza waandaaji na wapakiaji wa Maudhui mtandaoni kuzingatia kanuni, sheria na miongozo ya Maudhui bora ili kukidhi matakwa […]

FEATURE
on Oct 2, 2023
256 views 3 mins

*Awataka waanzishe vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kabla ya 2024 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini ambao bado hawajaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kama ilivyoelekezwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020/2025 wawe wameshaanzisha kabla ya mwaka 2024. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Viongozi na Watendaji Wakuu wa […]

FEATURE
on Oct 2, 2023
317 views 3 mins

Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 1725 ambazo zitakabidhiwa kwa chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Hayo yamesemwa Leo na waziri […]

FEATURE
on Oct 2, 2023
383 views 2 mins

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inaandaa mkakati mpya wa ukusanyaji mapato utakaolenga kuongeza mapato ya Taasisi hiyo mara dufu ya makisio yake ya Mwaka wa fedha 2023/2024. Hayo yamesemwa Leo Oktoba 1, 2023 na Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda katika kikao kazi na wakuu wa Kanda na wakuu wa mapori […]

FEATURE
on Oct 1, 2023
510 views 43 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Octoba 1, 2023 amefika eneo la ajali ya moto Kariakoo Jijini Dar es Salaam ambapo janga hilo la moto limetokea majira ya asubuhi na kusababisha kuteketea jengo moja pamoja na baadhi ya bidhaa zilizokuwemo katika Jengo hilo. RC Chalamila akitoa taarifa ya Serikali kufuatia […]