Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 178)
FEATURE
on Sep 7, 2023
379 views 3 mins

Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli unaimarishwa kwa kutenga fedha kila mwaka ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya ndani na nje ya Tanzania inayosafirishwa kupitia Bandari ya Dar es […]

FEATURE
on Sep 7, 2023
241 views 2 mins

Tanzania Imeungana tena mwaka huu ili kuashiria kwa hatua nyingine kwa ajili ya tuzo ya chakula cha Afrika. Kwa miaka mingi,wametambua na kuadhimisha watu bora na taasisi zinazozingatia mifumo ya chakula endelevu Afrika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Alhamis 07 September 2023 Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete Amesema Sisi ni […]

FEATURE
on Sep 6, 2023
263 views 20 secs

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka watendaji wake kushirikiana kwa pamoja ili wananchi wapate huduma kwa wakati Waziri Ndalichako ameyasema hayo wakati wa kikao kazi cha kujadili kazi za Ofisi hiyo pamoja na Taasisi zilizopo chini yake kilichofanyika Septemba 6, 2023 katika jengo […]

FEATURE
on Sep 6, 2023
386 views 3 mins

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa katika kipindi kifupi kutoka kuwa Shirika tegemezi na kuwa Shirika linalojitegemea huku akilitaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kufikia azma ya kuwepo kwa Shirika hilo. Aliyasema hayo Septemba 05, 2023 jijini Dodoma katika kikao kifupi na […]

FEATURE
on Sep 6, 2023
430 views 2 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 06 Septemba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) Dkt. Geraldine Mukeshimana. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango […]

FEATURE
on Sep 6, 2023
316 views 49 secs

Mpango wa Serikali wa kuwatoa Watanzania kutoka kwenye umaskini kupitia kilimo unaonekana dhahiri kutokana na hatua mbali mbali inazochukuliwa kuboresha sekta hiyo. Aidha miongoni mwa hatua madhubuti za kuimarisha sekta hiyo ni pamoja ni kuongezeka kwa bajeti ya kilimo hadi bilioni 970 kwa mwaka huu, fedha hizo zimelenga kufanya mageuzi kutoka kwenye kilimo cha kutegemea […]

FEATURE
on Sep 6, 2023
327 views 49 secs

BBT imetenga milioni 20 Kwa ajili ya kuhakikisha kuongeza vituo Katika wizara ya uvuvi na mifugo Kwa kushirikiana na mikoa ya hapa Nchini Katika vituo hivyo vituo nane ndo vilitengwa ambavyo vipo Chini ya wizara Moja Kwa Moja na BBT inaenda mpka mikoani Kwa kushirikiana na wakuu wa mikoa Katika mikoa hiyo ni Tabora,Morogoro,ambayo teali […]

FEATURE
on Sep 5, 2023
376 views 2 mins

SERIKALI imeweka mikakati itakayotekelezwa na nchi hivyo kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote,ili iweze kunufaika na tishio la baa la njaa linaloikabili dunia,kwa kuuza chakula katika maeneo mbalimbaliduniani. Mikakati hiyo ni pamoja na ile ya Kibajeti,Kisera,Teknolojia,Uwekezajina Ushirikiano baina yake na taasisi mbalimbali za ndani na nje yanchi. Hayo yanatokea wakati takwimu zinaonyesha wananchi […]

FEATURE
on Sep 5, 2023
313 views 2 mins

Makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango amesema Serikali inaendeza kufanyia jitihada za kuhakikisha kutimiza Mpango wa Pili wa Maendeleo Endelevu (SDG-2) ili kufikia sifuri ya njaa ifikapo 2030 na kuongeza uwezo wa nchi kuwa kama ghala la chakula la kikanda na kimataifa. Makamu wa Rais ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa mkutano […]

FEATURE
on Sep 5, 2023
372 views 6 secs

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka watendaji wa ofisi yake kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa malengo yanayopimika ili kuiwezesha serikali kufikia malengo na kuwahudumia wananchi. Mhandisi Luhemeja ameyasema hayo Septemba 5, 2023 mara baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa ofisi […]