Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema serikali imeweka mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya miradi na programu za vijana ili kupima matokeo ya utekelezaji sambamba na kuleta tija kwa Taifa. Mhe. Patrobas Katambi ameyasema hayo bungeni 4 Septemba, 2023 alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa […]
Chama Cha ACT wazalendo kinaunga mkono Uwekezaji WA Bandari ya Dar es salaam kati ya Serikali ya Tanzania Na Dubai DPWorld ili kuongeza ufanisi na utendaji kazi wa Bandari hio Hayo yameelezwa Jijini Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Dorothy Semu alipokitana na Waandishi WA Habari Kwa lengo la kutia ufafanuzi kuhusu […]
Msanii wa muziki wa injili hapa nchini,Emanuel Mbasha amewatambulisha rasmi wasanii wapya wa muziki wa injili ambao wanaitwa Mapacha wa Mungu kama sehemu ya project yake ya Mbasha House of talent. Mbasha amesema ujio wa wasanii hao mapacha kwenye muziki wa injili utakwenda kutikisa tasnia ya Muziki wa injili hapa nchini kwa kuongeza ladha mpya […]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wakala Huduma za misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Leo tarehe 29 agosti 2023 Katika ofisi za makao makuu polisi post kamanda […]
WACHIMBAJI wa Madini mkoani Lindi wameiomba Serikali kuongeza nguvu ya umeme hasa katika maeneo ya migodi Ili kuongeza kasi ya utendaji kazi katika uzalishaji wa madini mkoani humo. Akizungumza na waandishi wa Habari Moja ya Kampuni ya wachimbaji wa Madini mkoani humo amesema licha ya changamoto hiyo pia Kuna changamoto ya barabara kuelekea katika migodini […]
KITUO cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimewataka watanzania kote nchini kuweza kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo kwenye sekta ya madini na kuweza kuzalisha ajira nakuongeza thamani Kwa lengo la kuanyanyua uchumi wa maendeleo nchini. Akizungumza katika kongamano la uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya soko jipya _kilimahewa wilayani ruangwa katika Mkoa wa Lindi ambapo yanafanyika Maonesho ya madini […]
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa basihaya ndugu Samson Andrew amekabidhi jezi kwa washiriki wa michuano ya adrew supa cup inayofanyika kata ya basihaya bunju jijini dar es salaam Akizungumza na waandishi wa habari wakati akigawa jezi hizo ndugu Samsoni amesema wanamtarajia mbunge wa kawe ndugu Josephat Gwajima kuwa mgeni rasmi kwenye fainali hizo ambazo […]