Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 18)
FEATURE
on Mar 14, 2025
49 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kutoa pesa zilizowezesha ujenzi wa ofisi hiyo. -Awataka machinga na Bodaboda kuitumia ofisi hiyo kuleta matokeo chanya. -Arudisha tabasamu la Bi Beatrice aliyekumbwa na sakata la kuuzwa nyumba yake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 13, 2025 amezindua ofisi […]

FEATURE
on Mar 14, 2025
67 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ŸŸ  *Mwenyekiti Vuma ampongeza Rais, Serikali, Wizara na WMA* ๐ŸŸ  *Katibu Mkuu asema maono ya Rais Samia utoaji huduma bora kwa wananchi yatafikiwa* *Dodoma* Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mhe. Augustine Vuma amesema kukamilika kwa Jengo la Ofisi Kuu ya Wakala wa […]

FEATURE
on Mar 14, 2025
77 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œย  *Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi* ๐Ÿ“Œย  *SEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifu* Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuelekea Dira ya Tanzania 2025 ambayo inasisitiza maendeleo endelevu ya nishati kama […]

FEATURE
on Mar 14, 2025
70 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ  Dkt. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevu ๐Ÿ“Œ  Rais wa Sierra Leone asema ukombozi wa maeneo ya vijijini ni muhimu kufikia maendeleo ๐Ÿ“Œ  Waziri Mkuu wa Barbados apendekeza ushirikiano wa kimataifa kumaliza changamoto  za nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano […]

FEATURE
on Mar 14, 2025
60 views 26 secs

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe. Uwanjani hapo Makamu Mwenyekiti Wasira alilakiwa na viongozi mbalimbali wa CCM na serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo.

FEATURE
on Mar 14, 2025
57 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), *Mhe Naghenjwa Kaboyoka (Mb)* na wajumbe wa Kamati hiyo wameridhishwa na hatua ya mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Makao Makuu linalojengwa Jijini Dodoma ambalo hadi sasa limefikia asilimia 85 […]

FEATURE
on Mar 12, 2025
73 views 13 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aliyekuwa Rais wa Uganda marehemu Idi Amin alitaka kubadilisha jina la Uganda kuwa IDI. Kila mtu katika baraza la mawaziri alikubali. Sababu ni kuwa ‘Walimwogopa’. *Lakini kulikuwa na mtu mmoja, Malyamungu.* Akamwambia Amin “Mhe Rais unaijua nchi inayoitwa Cyprus?” Basi Amin akamuuliza “Hivyo Cyprus ina uhusiano gani na Mabadiliko ya Uganda, […]

FEATURE
on Mar 12, 2025
67 views 2 mins

-Asema ni muhimu kuelewa vizuri mfumo wa uboreshaji Kaya masikini  sambamba na taaluma ya ujasiriamali ili kuepuka kutumia pesa bila kuzalisha. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 12, 2025 katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo wakati akizindua zoezi la malipo ya Ruzuku kwa walengwa wa mpango wa kunusuru […]

FEATURE
on Mar 12, 2025
75 views 3 mins

*๐Ÿ“ŒAwapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure* *๐Ÿ“ŒAsema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja kuimarisha huduma kwa wateja na kutatua changamoto zao* *๐Ÿ“ŒAwaagiza Mameneja wa Mikoa na wilaya wa TANESCO kuwasimamia watoa huduma* *๐Ÿ“ŒAwaasa watanzania kutumia namba hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo* […]