Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 181)
FEATURE
on Aug 17, 2023
414 views 2 mins

Chama Cha watetezi wa haki za binadamu LHRC siku ya jumanne walizungumza kuwa dkt slaa na wezie ambao ni mwabukusi na mdude wamekamatwa Kwa kuonewa na hawakustahili kukamatwa Sheikh mwaipopo Leo wamewajibu watetezi hao wa haki za binadamu na kusema kuwa dkt slaa na wezie hawajakamatwa Kwa sababu ya uwekezaji wa bandari Akizungumza na waandishi […]

FEATURE
on Aug 17, 2023
274 views 2 mins

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeainisha mambo matano ambayo Serikali inatakiwa kuyachukulia hatua ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa mafuta ya Petroli na Diseli nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 17, 2023 jijini Dar es Salaam Waziri Kivuli wa Sekta ya Nishati wa Chama hicho Isihaka Mchinjita amebainisha hatua hizo kuwa ni Mosi, […]

FEATURE
on Aug 16, 2023
374 views 49 secs

Mkutano wa kitaalamu Wenye lengo la kujadili juu ya maendeleo ya kisekta ya uvuvi na Ufugaji wa samaki Katika afrika.ambayo ipo Chini ya Taasisi ya AFRICA UNIONS EBAC Mkutano huo wa kitaalamu Kwa ajili ya kujadili juu ya kunyambua itifaki mbalimbali za maendeleo ya ulinzi wa rasilimali Kwa samaki Akizungumza na waandishi wa habari jijini […]

FEATURE
on Aug 16, 2023
449 views 4 mins

SERIKALI imeendelea kutoa kipaumbele katika kuendeleza sekta ya kilimo nchini kwa kuzingatia umuhimu na tija ya sekta hiyo katika maendeleo ya Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi Agosti 15, 2023 wakati akihutubia katika kikao cha Awali cha Wadau kwa ajili […]

FEATURE
on Aug 15, 2023
468 views 2 mins

ALAF Tanzania, ambayo ni moja ya makampuni chini ya Safal Group, leo imezindua rasmi dhamana ya bidhaa lengo likiwa ni kulinda ubora wa bidhaa zake kwa wateja. Uzinduzi huu unatokana na kutapakaa kwa bidhaa zilizozalishwa chini ya kiwango na pia bidhaa bandia katika soko la Tanzania na masoko ya nje. Meneja Masoko wa ALAF, Isamba […]

FEATURE
on Aug 15, 2023
386 views 2 mins

Kamati ya Bunge ya Ustawi wa Maendeleo ya Jamii imempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha ustawi wa vijana na Watu wenye Ulemavu kujikwamua kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 15, 2023 bungeni na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatuma Toufiq kwenye kikao cha kamati cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa Mfuko wa […]

FEATURE
on Aug 15, 2023
340 views 13 secs

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mwezi mmoja kwa wadaiwa sugu kulipa madeni, na kuwa watakao kaidi maelekezo hayo, watakuwa wameruhusu Shirika kuwatangaza katika vyombo vya habari ili Mashirika na makampuni mengine yasiingie kwenye makubaliano ya kibiashara na mtu au kampuni inayodaiwa. Hayo yamebainishwa leo Agosti 15, 2023 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi […]

FEATURE
on Aug 15, 2023
328 views 2 mins

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewatambulisha rasmi Mabalozi watakaoshirikiana ili kupanua wigo wa mawazo na kutangaza Falsafa yake iliyojikita katika Kufufua Zaidi, Kukuza Zaidi na Kuendeleza zaidi Sekta ya Sanaa na kuipa mawanda mapana ya ubunifu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 15 Jijini Dar es Salaam akitambulisha mabalozi hao Katibu Mtendaji wa […]

FEATURE
on Aug 15, 2023
381 views 2 mins

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TANTRADE kwa kuboresha mazingira ya biashara hususani Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) 2023. Vilevile Kamati hiyo imeiagiza TANTRADE kupitia Sheria na kuwa na mikakati mahususi ikiwemo ya uboreshaji wa miundombinu […]

FEATURE
on Aug 14, 2023
280 views 19 secs

Kampuni ya sanlam na Wakandi zimetakiwa kuendeleza kuwa Wabunifu katika kutoa bidhaa zilizobora Kwa Wananchi zitakazochagiza shughuli mbalimbali za kimaendeleo Nchini. Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam mara baada ya Kamishna Mkuu WA Bima Nchini TIRA Baghayo Sakware kuzindua Bima ya Maisha ya Mkopo Wa Kigital yenye lengo la kuboresha usalama WA Fedha, ustawi […]