Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 185)
FEATURE
on Aug 2, 2023
685 views 33 secs

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka Wamachinga, Bodaboda na Madereva Bajaji kuepuka maneno chonganishi ambayo yatasababisha uvunjifu wa Amani ya Taifa. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo Agosti 2, 2023 akizungumza katika kongamano la Wamachinga, Bodaboda na Madereva Bajaji lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika viwanja vya […]

FEATURE
on Aug 2, 2023
365 views 24 secs

Mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni Sikunjema Yahaya Shabani amesema wanakigamboni wanaenda kuwa mabalozi Katika chama chetu Cha mapinduzi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni sikunjema yahaya Shabani kila mtanzania aliesikiliza hutuba ya viongozi mbalimbali atakuwa ameelewa jambo zima la bandari “mtu asieelewa basi atakuwa haelewi […]

FEATURE
on Aug 2, 2023
405 views 3 mins

JESHI la kujenga Taifa Nchini(JKT) limewataka wananchi wa Mkoa wa Mbeya na Mikoa jirani kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye banda lake lililopo katika viwanja vya John Mwakangale ambako maonesho ya nane nane yanaendelea na kwamba wafike ili kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za kilimo na kuongeza kuwa kwa upande wa shuguli zinazofanywa na jeshi hilo, […]

FEATURE
on Aug 1, 2023
481 views 2 mins

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Selemani Agai Gaya mwenye umri 18) mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kutoa lugha ya matusi mtandaoni dhidi ya Viongozi wakuu wa Serikali Tanzania kwa kutumia mitandao wa kijamii. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 01 […]

FEATURE
on Jul 31, 2023
468 views 2 mins

WAZIRI wa Nishati January Makamba amezindua taarifa ya mwaka wa Fedha 2021/2022 na Mpango Mkakati wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wa miaka 10. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo Julai 31, 2023 jijini Dar es Salaam, Waziri Makamba ameipongeza TANESCO kwa hatua nzuri kuelekea mabadiliko makubwa ya Shirika ambayo hayajapata kutokea. “Hii […]

FEATURE
on Jul 31, 2023
382 views 3 mins

KAMA sehemu ya juhudi za Ghana za kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya Ghana na Tanzania chini ya Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA), Ofisi ya Kitaifa ya Uratibu wa AfCFTA ya Ghana (NCO) imepanga kufanya msafara wa kibiashara kwenda nchini Tanzania Septemba 25 na 26, 2023. Akizungumza na waandishi […]

FEATURE
on Jul 30, 2023
393 views 3 mins

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia maelfu ya wana CCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es Salaam leo Julai 29,2023. …………………………… Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinachofanywa na Serikali katika suala la bandari ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya […]

FEATURE
on Jul 29, 2023
222 views 2 mins

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametoa wiki moja kwa ofisi ya Maliasili Wilaya ya Itilima, kurejesha fedha Sh milioni 11 za maendeleo ya Kijiji cha Mbogo. Kinana pia amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Faiza Salum kuhakikisha fedha hizo zinarejeshwa […]

FEATURE
on Jul 28, 2023
295 views 3 mins

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeeleza juhudi zinazofanywa katika kuhakikisha nishati ya Gesi inapatikana kwa uhakika na hatimaye kuwezesha upatikanaji wa nishati ya uhakika ya umeme nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 28, 2023 jijini Dar es Salaam Kaimu Meneja Uendelezaji wa Uzalishaji wa Gesi TPDC Mhandisi Felix Nanguka amesema kwamba […]

FEATURE
on Jul 28, 2023
253 views 2 mins

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kuwa jukumu la kujiendeleza ni la mtu binafsi na kwamba hakuna anaeweza kumwendeleza mtu mwingine. Amesema hata serikali haiendelezi watu bali hujiendeleza kutengeneza mazingira mazuri kwa wananchi kujiendeleza kupitia fursa mbalimbali. Kinana ameyasema hayo leo Julai 28, 2023 wakati akizingumza na waganga wa tiba asiili […]