AFISA ustawi wa jamii manispaa ya Ubungo jijini Dar Naamini Nguve, amewataka wanandoa nchini wajitahidi kumaliza migogoro yao ili kupunguza wimbi la watoto wa mitaani. Nguve amesema kuwa katika kituo cha mabasi maarufu Magufuli kilichopo manispaa ya Ubungo jijini hapa wamekuwa wakipokea makundi ya watoto chini ya miaka 18, vijana, wazee pamoja na walemavu kutoka […]
Baraza la madiwani Halmashauri ya mji Kibaha limeazimia kwa pamoja kumpongeza kwa dhati serikali ya awamu ya sita Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia kiasi cha shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2022/2023. Akisoma taarifa ya mapokezi na matumizi ya fedha ya […]
Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali Tanzania, Tigo, imezindua mfumo wa bidhaa yake ya mikopo iliyoboreshwa kupitia Tigo Pesa kwa kushirikiana na Benki ya Azania. Uzinduzi huu imezinduliwa Leo Alhamis 27 2023 Katika ukumbi wa Serena hotel Jijini Dar es salaam ambapo ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha upatikanaji wa mikopo ya muda […]
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ukumbi wa CCM Mkoa wa Mara Kinana, ameweka jiwe hilo la msingi leo Septemba 26,2023 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake akikagua miradi na utekekezaji wa ilani ya Chama hicho. Akizungumzia mradi huo, Katibu wa CCM Mkoa […]
Wanaharakati wa kujitegemea wa kutetea haki za binadamu Deusedith Isaac SokaAmelaani vikali Kwa wale ambao walioweza kufanya vurugu Katika mkutano wa chadema ambao uliofanyika Katika viwanja vya temeke buriaga Kwa kushambuliwa Kwa waandishi wa habari wa mwananchi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumatano 26 julai amesema gari ya wananchi ilifaanyiwa […]
Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imeziagiza taasisi za umma kuhakikisha watumishi wote wanaohusika na ununuzi wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuutumia mfumo mpya wa ununuzi โNational e-Procurement System of Tanzaniaโ (NeST). Agizo hilo limetolewa na PPRA kupitia taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo hivi karibuni, ambapo taarifa hiyo imesema kuwa, taasisi za umma zinawajibu […]
Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili kufahamu maana ya ulinzi wa amani na kushiriki katika opereshini mbalimbali za kimataifa. Ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 katika ukumbi wa Mlimani City […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa zinapaswa kujishughulisha zaidi katika kubuni na kutoa masuluhisho ya kifedha ili kuunga mkono azma ya nchi za Afrika ya kuharakisha maendeleo ya rasilimali watu. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akihutubia viongozi mbalimbali wa […]
Kikundi Cha Buta Vicoba Endelevu kimezinduliwa rasmi Jana na Mwenezi wa CCM Kata ya Bunju Shabiri Akbal Ismail na kuwataka wanawake hao kuwa pamoja na kushirikiana Kwa kila jambo. Ameyazungumza hayo Jana siku ya Jumatatu 24,2023 Katika ukumbi wa Boko chama CCM na kusema kuwa wakina mama wanatakiwa kutokuwa na mambo ya Siri Katika vikundi […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa Jijini Dodoma leo Julai 25,2023 ambapo amesema mnara utakaojengwa katika uwanja huo wa Mashujaa utakuwa ni mnara mrefu zaidi Afrika. โSiku ya leo ni siku ya tafakuri, sala na dua zaidi na […]