Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 188)
FEATURE
on Jul 19, 2023
300 views 2 mins

Kufuatia maneno yanayoendelea kuhusiana na uwekezaji wa uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam imeelezwa kuwa maoni ya wananchi yatakusanywa, yale yatakayoonekana yana tija yataingizwa kwenye mjadala wa mkataba ukaoingiwa kwenye uendeshaji huo wa bandari, lakini suala la Serikali kurudi nyuma ni mwiko, bali mambo yatakuwa ni mbele kwa mbele. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu […]

FEATURE
on Jul 19, 2023
258 views 3 mins

Waziri wa madini Dotto Bitteko Leo amekutana na wanaChama wa Chama cha wachimbaji wa Madini na Wadau mbalimbali wasekta hiyo na kujadili Mafanikio na changamoto za wachimbaji wa madini jijini Dar es Es Salaam Mkutano huo uliofanyika jijini Dar es salaam Katika hotel ya Johar rontana na kuhudhuriwa na Waziri wa Maji ,Nishati na Madini […]

FEATURE
on Jul 19, 2023
370 views 4 secs

Taaasisi ya jakaya kikwete jkic inayotoa huduma ya tiba ya moyo na upasuaji imetoa mwelekeo wa utekelezaji wa mwaka wa fedha 2023/2024 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar salama mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Dkt Peter kisenge alisema kutokana na shughuli mblimbali zinazofanywa na jkic serikali imeunga mkono ili kupunguza magonjwa ya moyo Baadhi […]

FEATURE
on Jul 18, 2023
507 views 52 secs

MKAZI wa kijiji cha Chiwambo, kata ya Lulindi, wilayani Masasi, mkoani Mtwara, Haika Mangeja (62), ameuawa baada ya kuvamiwa na fisi wakati akijaribu kumwokoa mke wake. Wananchi wa kijiji hicho walifika eneo la tukio na kumkuta fisi huyo akiwa anakula mwili wa marehemu eneo la kichwani na kumuua kwa kutumia silaha za jadi. Mwenyekiti wa […]

FEATURE
on Jul 18, 2023
306 views 30 secs

MWENYEKITI wa zamani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salum amefariki dunia leo. Taarifa zinaeleza Jecha Salum amefariki akiwa katika Hospitali ya Lugalo Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar. Ikumbukwe mwenyekiti huyo aliwahi kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Mwaka 2020, Jecha alichukua fomu ya kugombea […]

FEATURE
on Jul 17, 2023
268 views 15 secs

MSAJILI wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi amesema vyama vipya vya siasa 18 vimeomba usajili ambapo utaanza kutekelezwa baada ya kuhitimishwa zoezi la uhakiki wa vyama vilivyopo. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kikao kazi na viongozi wa vyama vya siasa nchini ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye uhakiki huo Mutungi amesema […]

FEATURE
on Jul 17, 2023
327 views 2 mins

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya. Hayo yamesemwa leo Julai 17, 2023 Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji, Tanzania Gilead Teri wakati wa mkutano wa kituo hicho na Jukwaa la Wahariri wa vyombo habari uliofanyika katika ukumbi […]

FEATURE
on Jul 17, 2023
296 views 2 mins

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Bw. Eliakim Maswi wakati akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024. SERIKALI kupitia Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema katika Mwaka wa Fedha 2023/24 imepanga kupunguza siku […]