MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amepongeza uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan wa kuunda wizara inayohusika na mipango. Pia, amepongeza hatua ya kuifanya Tume ya Mipango kuwa chini ya ofisi ya Rais ambapo amesema itaongeza kasi na uhakika wa mipango ya maendeleo nchini. Kinana ameyasema hayo jana […]
Taasisi mpya iitwayo watetezi wa mama wamekuja Moja Kwa Moja Kwa ajili ya kumsapoti Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Katika juhudi zake ambazo anazozifanya Katika serikali yake. Miaka 2 ya mama samia mambo makubwa yamefanyika Kuna miradi ya mikakati tunaule mradi wa mwalimu Nyerere wa umeme rufiji na mradi wa reli SGR wengi tulijua miradi haiwezi […]
UNAPOPENDWA,ukapendeka na upande ukapendwa,furaha,utulivu na amani huwa ni rafiki zako wa karibu. Wataalam wa Masuala ya mahusiano wanasema Katika upendo huu, mwanamke ndiye anaouwezo Zaidi WA kupenda kuliko mwanaume,kwamba mwanamke akipenda anapenda Hadi anazubaa. Kwa upande wa mwanaume huwa anapenda Kwa hesabu ni nadra sana kumpata mwanaume akazama kwenye mapenzi kiasi kwamba anazubaa na kuduwaa […]
Ofisa mtendaji mkuu wa Simba SC Imani kajula ametangaza kuwa jezi mpya za Simba SC za msimu wa 2023/24 zitakazozinduliwa rasmi tarehe 22 Katika kilele Cha mlima Kilimanjaro. Jukumu la kupeleka jezi Katika kilele Cha mlima Kilimanjaro amekabidhiwa meneja wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally. Kajula amesema hayo Leo jijini […]
Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof.makame mbalawa amesema Tarehe 10 juni mwaka huu Bunge la yamhuri ya Muungano wa Tanzania lililidhia Azimio la makubaliano kati ya serikali ya Muungano Tanzania na serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi wa kijamii kwa ajili ya Utekelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari Tanzania pamoja na kuridhiwa […]
Sakata la bandari likiwa linazidi kuendelea viongozi mbalimbali, wanasheria,pia wanaharakati wanazidi kuliongelea swala hilo la bandari na kuzidi kutoa ufafanuzi wa kina Ili wananchi waelewe kuwa bandari haiuzwi Bali ni uwekezaji ambao utakuwepo baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai. Wahariri mbalimbali nao wameweza kutoa maoni Yao wakilizungumzia swala hilo Ili kuwaelimisha jamii […]
Ubongo Kids yasherehekea miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ikiwa na mafanikio makubwa ya kuenea nchi 23 na kuzifikia familia milioni 32 kote duniani. Ubongo Kids ambayo imekuwa kinara hapa nchini kutokana na umahili wa kuandaa maudhui ya kuelimisha na kuburudisha kwa vipindi kwenye televisheni wamesherekea mafanikio hayo kwa kuzindua silizi mpya ya NUZO na NAMI […]
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma (PIC) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la ukonga Jerry Silaa amesema nchi yetu inakatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inayotoa mamlaka Kwa kila aliepewa mamlaka na katiba,katiba hiyo imeazimishwa na mamlaka lakini vile vile mamlaka hayo wakitumia Demokrasia Kwa […]