Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 190)
FEATURE
on Jul 12, 2023
234 views 5 mins

Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 13 za Tanzania Bara kesho Julai 13,2023. Jumla ya wapiga kura 74,642 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huu mdogo na jumla ya vituo 205 vya kupigia kura vitatumika. […]

FEATURE
on Jul 12, 2023
286 views 6 mins

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amewahakikishia Wabunge wa Zanzibar kuwa Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMTZ) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zitaendelea kuweka mifumo wezeshi ya upatikanaji wa fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo ili kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati. Waziri Jafo ameyasema hayo […]

FEATURE
on Jul 11, 2023
863 views 57 secs

Ukimwi ni swala ambalo watu wengi wanalifikilia na kuitaji kuhakikisha wanaweza kulidhibiti ugonjwa huu wa ukimwi Kwani taasisi mbalimbali wakiwapa elimu wananchi kuhusiana na swala hili la janga la ukimwi WHO ni shirika la afya linajitahidi sana kutoa elimu Kwa wale ambao walioathirika na kuwapa matumaini ya kuishi tena kwani kupata ukimwi sio kufa. Mtanzania […]

FEATURE
on Jul 11, 2023
350 views 2 mins

Mkurugenzi wa ufundi wa kampuni ya double Eight LTD Marshalo V. Chikoleka Amesema swala la bandari limebeba uchumi wa nchi yetu ya Tanzania ni sehemu ambayo inayoonyesha Kwa miaka yote ni sehemu ambayo ni maarum inayobeba uchumi wetu Kwa kiasi kikubwa sana. Akiyazungumza hayo jijini dar es salaam Leo (jumanne 11 julai 2023) amesema bandari […]

FEATURE
on Jul 10, 2023
249 views 8 secs

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amepokea vifaa vya michezo kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Chen Mingjian ambavyo vitatumika katika Programu ya Michezo Mtaa kwa Mtaa pamoja na Samia Taifa Cup. Vifaa mbavyo Mhe. Chana amepokea ni pamoja na Mipira ya Kikapu 600, mipira ya Wavu […]

FEATURE
on Jul 10, 2023
475 views 3 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa azma ya Serikali ni kuimarisha na kuongeza uwezo kwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili iweze kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kulea vizuri vijana. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais Mhe. Dkt. Samia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 […]

FEATURE
on Jul 10, 2023
556 views 4 mins

Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, ambayo ni ya awamu ya tano imezinduliwa Leo Jijini Dar es salaam,ambao utafiti Huo unaangazia hupima mahitaji,upatikanaji na matumizi ya huduma za fedha Tanzania Bara na Visiwani. Ripoti hiyo imezinduliwa Leo Jumatatu ya tarehe 10 Katika ukumbi WA BOT Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya […]

FEATURE
on Jul 10, 2023
356 views 2 mins

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda maslahi yao wakati wote. Mhe.Katambi ametoa wito kwa vijana nchini kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali kupitia programu za kuwawezesha na […]

FEATURE
on Jul 8, 2023
274 views 4 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uwekezaji una faida na kwamba suala hilo siyo kitu kipya. Ametoa kauli hiyo jana jioni (ijumaa,julai 07,2023)wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya bandari mjini Mtwara. Amesema mwekezaji WA kwanza kwenye bandari ya Dar es salaam ambako uwekezaji unapigiwa kelele, mkataba wake ulikuwa na […]

FEATURE
on Jul 7, 2023
283 views 35 secs

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tano elfu sitini na tano Ujenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki […]