Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 191)
FEATURE
on Jul 5, 2023
229 views 10 secs

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ziara ya kiserikali.

FEATURE
on Jul 4, 2023
202 views 2 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Makatibu Tawala wa Wilaya zote Tanzania Bara watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia utawala bora, miiko na maadili ya viongozi wa umma. “Kila mmoja akazingatie utumishi wa umma unaongozwa kwa misingi ya sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya Serikali. Misingi hiyo, ndio chachu ya ujenzi wa taswira nzuri ya Serikali […]

FEATURE
on Jul 4, 2023
418 views 2 mins

Msanii Steve Nyerere Kwa kushirikiana na shirika la yoge wameanda mpango wa kuwasaidia watoto wasioweza kujikimu Katika vifaa vya masomo Yao na wazazi ambao wasioweza kufanikisha Maendeleo ya watoto wao. Yoge imeandaa mpango huo Kwa kufanikisha watoto wanasoma vizuri na kupata vitendea kazi kama madaftar na kuazisha kampeni ya mama ongea na mwanao “Kuna watoto […]

FEATURE
on Jul 4, 2023
438 views 2 mins

Mfanyabiashara, Rostam Aziz amekiangukia Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), akiomba radhi kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya Mahakama nchini. Rostam ameomba radhi saa chache baada ya JMAT kutoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari, kikimtaka mfanyabiashara huyo athibitishe tuhuma alizotoa dhidi ya Mahakama au aombe radhi hadharani. Rostam,Juni 26, mwaka huu mbele […]

FEATURE
on Jul 3, 2023
431 views 2 mins

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) CPA Habibu Suluo amesema mabasi 38 kampuni ya New Force Enteprises yamefutiwa ratiba za alfajiri ambapo mabasi 10 ni yale yanayoanza safari saa 9.00 alfajiri na mabasi 28 yanayoanza safari saa 11.00 alfajiri. Aidha, kuanzia tarehe 5 Julai, 2023, mabasi hayo yatafanya safari zao kuanzia saa […]

FEATURE
on Jul 3, 2023
231 views 3 mins

Mashindano Kimwanga CUP ambayo yalikuwa yakitimuwa vumbi kata ya Makurumla yametamatika siku ya jana baada ya Timu ya Mingle FC kunyakuwa kikombe kwa kuichapa Ting Wayland Magoli mawili kwa sifuri mchezo uliochezwa uwanja wa Bubu. Katika fainali ya michuano hiyo iliyoteka hisia za mashabiki lukuki wa soka katika Kata ya Makurumla pamoja na kata jirani […]

FEATURE
on Jul 1, 2023
796 views 29 secs

Katika siku za karibuni kumekuwa na taarifa za utapeli zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa Mpango wa Rais wa Uwezeshaji wa Vijana, Taarifa hiyo yenye kichwa cha habari “Mpango wa Rais wa Uwezeshaji Vijana”, inawahamasisha Vijana kuomba Ufadhili wa kitaifa wa uwezeshaji vijana 2023 kupitia Tovuti yenye anuani;(https://youth.empower.tzn.formsite.online) kwa ajili ya zoezi la […]

FEATURE
on Jun 30, 2023
296 views 22 secs

Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mohamed Salum Leo ijumaa ya tarehe 30 amefanya mahojiano na kituo kimoja Cha television kilichopo dar es salaam Katika kufafanua na kufungua baadhi ya vifungu vya Sheria katika mkataba wa bandari huo Amesema ni kweli ibala ya 22 ya mkataba inaongelea substitute management marekebisho ya ibala […]

FEATURE
on Jun 30, 2023
295 views 2 mins

Taasisi ya Haki za Wasanii (TARO) wamekutana na Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria na kuwasilisha mapendekezo ya wadau wa sanaa juu ya Marekebisho ya Sheria ya Sanaa namba 23 ya mwaka 1984 Ili kuendana na uhuru wa sanaa kama msingi wa haki za binadamu. Akizungumza Katika kikao hicho Leo ijumaa tarehe 30 Mkurugenzi […]

FEATURE
on Jun 30, 2023
255 views 28 secs

Mwenyekiti wa chama Cha wakala wa meli Tanzania (TASAA) Daniel Mallongo amesema mawakala wa meli Nchini Tanzania wanasubiri Kwa hamu uwekezaji wa kampuni ya Dp world kwenye uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam. Amesema Dp World ni kati ya kampuni tatu kubwa duniani ambazo zinazoendesha bandari mbalimbali “Dp world inaendesha takribani bandari 64 duniani […]