Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 194)
FEATURE
on Jun 21, 2023
367 views 2 mins

MWENYEKITI wa chama cha wananchi the civil United Front (Cuf) Prof Ibrahim Lipumba amekemea vikali kuhusisha suala la mkataba wa kampuni ya Dp world ya nchini Dubai na Bandari ya Dar es Salaam (TPA) kuwa suala hilo Halina uhusiano wa uzanzibari nakusisititiza kuwa suala hilo linalohusu nchi ya Tanzania. Akizungumza na Waandishi wa habari kwenye […]

FEATURE
on Jun 20, 2023
556 views 4 mins

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]

FEATURE
on Jun 20, 2023
216 views 2 mins

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali wasiwe kikwazo na waendelee kutoa ushirikiano viongozi wa dini na wawekezaji wa ndani na nje ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini ArushaAmesema […]

FEATURE
on Jun 20, 2023
287 views 2 mins

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered anayesimamia nchi za Afrika na Mashariki ya Kati, Bw. Sunil Kaushal Benki ya Standard Chartered ipo katika hatua za mwisho za utaratibu wa kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa vipande vilivyobakia vya reli ya kisasa […]

FEATURE
on Jun 20, 2023
306 views 3 mins

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameonya vikali watumishi na madiwani watakao jihusisha na ‘upigaji’ fedha katika Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, huku watumishi watatu wa jiji hilo wakisimamishwa. Amewataka Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomaary Satura, kuwachukulia hatua kali […]

FEATURE
on Jun 19, 2023
416 views 2 mins

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewatuliza wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la kariakoo na kuwataka kufuata sheria na mikataba waliyoingia na shirika hilo. Akizungumza jijini dar es salaam na wapangaji hao leo tarehe 19 Juni 2023 kwa kusikiliza kilio cha wapangaji hao Waziri WA ardhi […]

FEATURE
on Jun 19, 2023
451 views 31 secs

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwajali na kuwathamini Watu wenye Ulemavu kwa kuhakikisha inakuza ustawi wa kundi hilo. Akizungumza Katika viwanja vya Bungeni jijini dodoma Naibu […]

FEATURE
on Jun 19, 2023
224 views 4 mins

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Kilimanjaro na Arusha na kufanikiwa kukamata dawa za kulevya aina ya heroin kilogramu 200.5, bangi kavu iliyokuwa tayari kusafirishwa gunia 978, bangi mbichi gunia 5,465, bangi iliyosindikwa […]

FEATURE
on Jun 19, 2023
302 views 2 mins

Azam media Kwa kushirikiana na studio za powerbrush kuzindua onyesho la kwanza la kihistoria ambalo litakalofanyika siku ya ijumaa Juni 23,2023 ambalo litakalo fanyika Katika ukumbi WA century sinemax mlimani city dar es salaam. Akizungumza na vyombo vya habari jijini dar es salaam Afisa muendeshaji mkuu Azam yahya Mohammed Amesema tutumie fursa hii Kwa niaba […]

FEATURE
on Jun 19, 2023
578 views 3 mins

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amevitaka vikundi vya Ulinzi na Usalama vinavyoshiriki zoezi la Ushirikiano Imara WA mwaka 2023 kwa majeshi ya nchi za Afrika ya Mashariki kuhakikisha vinawakilisha vema taifa la Tanzania ili kujenga ushirikiano mzuri na nchi jirani. Akizungumza mara baada ya ufunguzi wa zoezi hilo lililofanyika […]