Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa rai kwa Taasisi Simamizi na Vyama vya Kitaaluma kuhimiza na kuwasimamia watumishi kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wananchi. Akizungumza Jijini Dodoma Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, […]
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitosita kumchukulia hatua atakayebainika kukwamisha ujenzi wa shule za msingi na ukarabati wa madarasa kwani fedha za ujenzi na ukarabati huo zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuboresha […]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawatahadharisha wananchi kuhusu taarifa zinazozagaa kutoka kwa mtu mmoja kuwa kutakuwa na maandamano siku ya Jumatatu ya tarehe 19 mwezi huu ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi WA habari jijini dar es salaam kamishna msaidizi muandamizi WA jeshi la polisi Murilo […]
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu amekutana na wajumbe kwa kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha miundombinu ya michezo nchini. Akizungumza jijini Dodoma ambapo timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Bw. […]
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kutambua kuwa wananchi wana matumaini makubwa na uteuzi wao, hivyo wana wajibu wa kuhakikisha wanakidhi matarajio yao na ya wadau wengine kwenye masuala ya sheria. Akizungumza Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Othman amesema hayo wakati akiwasilisha mada katika Mafunzo […]
NAIBU WAZIRI KATAMBI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KUPITIA MABORESHO YA PROGRAMU YA UKUZAJI TIJA NA UBUNIFU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amefungua kikao kazi cha kupitia na kujadili rasimu ya mwongozo wa kupima tija na programu ya kukuza tija na ubunifu nchini utakaosaidia kuangalia maendeleo ya ukuaji wa uchumi. Akizungumza jijini Dodoma, Mhe. Katambi amesema mwongozo huo pia utasaidia kutoa taarifa […]
Umewai kujua kwamba ili utambulike rasmi kisheria kwamba haupo katika mahusiano kindoa “single”unahitajika kuw a na cheti Cha serikali (Bachelor Spinster certificate)kinachotolewa na wakala wa usajili,ufilisi na udhamini (RITA) Huduma hiyo ya utambuzi huo ambao happy awali ilikuwa ikitolewa Kwa gharama ya sh 100.000 Kwa Sasa itaanza kupatikana Kwa kiasi Cha sh.200.000 ifikapo julai mosi […]
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhakikisha wanatumikia vyema nafasi zao walizoaminiwa ili kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo mbalimbali wanayohudumia. Mhandisi Luhemeja ametoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti alipofanya ziara kwenye Ofisi mbalimbali za MWAUWASA […]