Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia kuwa mgeni maalum Kusimikwa Askofu Romanus Mihali 📌 Asema Serikali itahakikisha uchaguzi unakuwa wa huru na haki 📌 TEC yaipongeza Serikali kwa kuendeleza Uhuru wa kuabudu nchini Na Of Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaomba viongozi wa dini nchini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa Mradi wa laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye urefu wa kilomita 102 kutoka Tabora hadi Ipole, ambao utawasaidi Wananchi wa Wilaya ya Sikonge kupata huduma ya Umeme wa uhakika na kuchochea maendeleo. Akizungumza […]
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025. Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 26, amewasili mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Katika Uwanja wa Ndege wa Nduli, Dkt. Biteko amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe. Peter Serukamba Akiwa mkoani humo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MMILIKI wa Kampuni ya Rohama 333, Mhandisi Owden Mwalyambi amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan kumuomba msaada ili aweze kulipwa malipo yake anayodai kufanyia kazi mradi wa serikali mkoani Rukwa bila kulipwa. Mwalyambi ameeleza hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Ngome Social Hall, Wilaya ya Kinondoni Dar […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Watumishi wa umma ni taswira au sura ya Serikali hivyo tunatakiwa tuangalie na kuzingatia namna tunavyofanya kazi na tunapotekeleza majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa niaba ya Serikali. Kila mmoja ana wajibu kwa kutunza taswira ya Serikali tunayoitumikia chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais […]
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa, Watendaji wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania, wameshiriki bonanza katika Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam leo Aprili 26, 2025. Bonanza hilo limehusisha michezo mbalimbali ikiwemo kufukuza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwasili katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha kushiriki maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo 26 Aprili, 2025. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu, Shiriki Uchaguzi.”
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Serikali imeendelea kuwapa ushirikiano klabu ya Simba ili kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili na kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mhe. Mwinjuma ameyasema hayo April 25, 2025 jijini Johannesburg Afrika Kusini, kwenye tukio la Simba SC […]