Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 21)
FEATURE
on Mar 6, 2025
56 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini ▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum ▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini ▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa Vijana na wakina mama waungwa mkono 𝐓𝐨𝐫𝐨𝐧𝐭𝐨,𝐂𝐚𝐧𝐚𝐝𝐚 Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada *Mh. Ahmed Hussein* na Waziri wa Madini wa […]

FEATURE
on Mar 6, 2025
94 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi wa Gesi Asilia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),  Mha. Poline Msuya, amesema EWURA inaendelea kuweka mazingira rafiki ya kuhamasisha uwekezaji katika mnyororo wa thamani wa biashara ya gesi asilia iliyogandamizwa (CNG) ikiwa ni hatua muhimu katika kusaidia juhudi za Serikali za kuchochea matumizi ya […]

FEATURE
on Mar 5, 2025
81 views 3 mins

📍Meli ya “Le Bougainville yaleta wengine zaidi ya 130. Na Beatus Maganja Meli ya Kifahari ya kitalii ya “Le Bougainville,”  imewasili leo Machi 05, 2025 katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Mkoani Lindi ikiwa na jumla ya watalii 133 kutoka Mataifa mbalimbali duniani Kwa ajili […]

FEATURE
on Mar 5, 2025
81 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Asema upatikanaji wa Nishati Afrika bado ni mdogo kulinganisha na Mabara mengine* 📌 *Asisitiza uendelezaji wa vyanzo vya Nishati uzingatie mustakabali wa vizazi vijavyo* 📌 *Afungua Kongamano na Maonesho ya Petroli kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25)* Makamu wa Rais, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika […]

FEATURE
on Mar 5, 2025
90 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Wapiga Kura wapya zaidi ya Laki sita wanatarajiwa kuandikishwa na Tume. Mkoa wa Dar es Salaam unatajia kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa leo Machi 5, 2025 na Mwenyekiti wa Tume Huru […]

FEATURE
on Mar 5, 2025
52 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Serikali kuwezesha Sera, Sheria kwa wawekezaji wa Nishati Safi ya kupikia 📌 Ahamasisha matumizi ya Nishati ya Safi ya kupikia nchini 📌Ampongeza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kwa kuunganisha watumiaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wanawake kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia, ili kuhakikisha […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
69 views 8 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi* 📌 *Afungua Mkutano wa Awali EAPCE’25* 📌 *Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi ya Nishati Safi* 📌 *Ataka mkazo kuwekwa kwenye Nishati Safi ya Kupikia kwani matumizi ya kuni na mkaa bado ni makubwa* Naibu Waziri Mkuu na […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
62 views 3 mins

■Lengo ni kuimarisha uhifadhi nchini Na Happiness Shayo – Ngorongoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18  kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo […]

FEATURE
on Mar 4, 2025
71 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA •  _*Mradi wa Epanko Graphite Kuinufaisha Tanzania Kibiashara, Kiuchumi*_ •  _*Kuchangia Zaidi ya Shilingi Trilioni 5 kwenye Pato la Taifa*_ •  _*Tanzania kuwa Kiungo Muhimu Katika Sekta ya Nishati Safi Duniani*_ Tanzania imeandika historia mpya katika Sekta ya Madini baada ya Machi 3, 2025, Serikali kutoa Leseni Kubwa ya Uchimbaji  (Special […]