Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Asema inaongeza kujiamini* 📌 *Asema Wizara ya Nishati inaiishi kaulimbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2025* Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Bi. Ziana Mlawa ametoa rai kwa Vijana wa Kike kuwa fedha wanazopata watumie pia katika kufanya uwekezaji hali itakayowajengea uwezo kujiamini zaidi ikiwemo katika maeneo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Ushauri la Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) limepitisha rasimu ya bajeti yake ya mapato na matumizi ya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 848 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itakayotoa dira ya utoaji huduma muhimu za kijamii pamoja na matumizi ya mishahara kwa watumishi Akizungumza wakati wa kuwasilisha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amesema serikali ina hazina yakutosha ya dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi(ARVs) na kuwatoa hofu wananchi kuacha kuhifadhi dawa nyumbani. Hayo yamebainishwa leo Machi 1,2025 Jiji Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *📌 Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga.* *📌 Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini.* *📌Kapinga asema Tanga ni Mkoa muhimu katika sekta ya nishati nchini.* *📌Uwekezaji huo unaunga mkono na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia.* Rais wa Jamhuri wa […]
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema mchakato wa uwekezaji katika Bandari ya Malindi kisiwani Unguja umezingatia na kufuata vigezo ,sifa na taratibu za kisheria hadi kupatikana Kampuni ya Africa Global Logistic (AGL) Pia CCM kimesisitiza hili la Bandari limekwisha hivyo kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo , Ismail Jussa Ladhu, akatafute jengine […]
Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini Wizara ya Nishati, Bi. Anita Ishengoma amesema katika utekelezaji wa majukumu ya kisekta Wizara ya Nishati imetoa fursa za usawa kwa wanawake. Bi. Ishengoma ameyasema hayo katika kuelekea kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 8 Machi ambapo nchini itaadhimishwa kitaifa mkoani […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA DAR ES SALAAM: KATIBU Tawala mkoa wa Dar es Salaam Dk. Toba Nguvila amesema katika kuhakikisha usalama katika soko la Kariakoo, tayari serikali kupitia Halmashauri ya jiji hilo imeshasaini mkataba na Wakalawa Ufundi na Umeme Tanzania TAMESA kwaajili ya ufungaji wa kamera 40 za ulinzi ( CCTV Camera) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi na wafanyabiashara wote kuunga mkono ufanyaji biashara saa 24 Dar es Salaam na siyo kupinga kama ilivyo kwa baadhi ya watu wanaobeza mambo makubwa yanapofanyika. Akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa ufanyaji biashara wa saa 24 uliofanyika eneo la Soko […]
Na Mwandishi Maalum Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM )kimekitaka ACT Wazalendo kuacha kueneza upotoshaji na kudai kuwa Uandikishaji wapiga kura Mikoa wa Kaskazini ” A” na ‘B’ kuna baadhi ya wananchi hawakuandikishwa. CCM kimekanusha na kusema wananchi wote waliokidhi vigezo kwa vya sheria ya Ukaazi na majina yao yamo kwenye Daftari la Sheha wa shehia, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Dodoma* Imeelezwa kwamba Tanzania ni moja ya nchi katika Bara la Afrika iliyobarikiwa na wingi wa aina mbalimbali za rasilimali madini ambazo zimekuwa kivutio kwa kampuni za uwekezaji kutafuta fursa katika mnyororo wa thamani madini. Hayo yameelezwa leo Februari 26, 2025 na mjiolojia Ambreesh Jha ambaye ni Mjiolojia Mkuu wa Idara […]