Na. Mwandishi Wetu, Morogoro Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamishna Msaidizi wa Mkondo wa Juu wa Petroli, Wizara ya Nishati, Mhandisiย Antelimi Raphael amesema kuwa Tanzania ina utajiri wa Gesi Asilia ambapo mpaka sasa kiasi kilichogunduliwa ni futi za ujazo trilioni 55. Amesema hayo tarehe 26 Februari 2025 jijini Dar es Salaam katika Kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoendeshwa na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Tanzania kuchimba visima vya utafutaji Mafuta Eyasi Wembere* ๐ *CNG kufika hadi kwenye mikoa ambayo haijafikiwa na Bomba la Gesi* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt.James Mataragio amesema Kongamano na Maonesho ya Petroliย ya Afrika Mashariki ( EAPCE’25 ) ambayo yatafanyika Machi 5 hadi 7 mwaka huu jijini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani atoa wito wa kushikamana* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali imeboresha mazingira ya wanawake nchini ili waweze kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kiuchumi, maendeleo ya Tanzania na kushika nafasi za uongozi. Mhe. Kapinga ameyasema hayo alipokuwa akielezea nafasi ya mwanamke katika kuelekea […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Al- Madrasatul An-nujum imeandaa mashindano ya kuhifadhisha Quran Tukufu siku ya Tarehe 2 ya mwezi wa 3 2025 Katika ukumbi wa Dyccc chang’ombe jijini dar es salaam Taasisi hiyo Mpaka Sasa imefikisha miaka 22 tokea kuazishwa kwake Kwa mashindano hayo ya kuhifadhisha Quran Tukufu Kwa vijana […]
Na Mwandishi Wetu- Sumbawanga Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Kwela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa kuwa mstari wa mbele kukisemea Chama hasa kutambua mambo makubwa yaliyofanywa na […]
๐ *Kituo kugharimu shilingi bilioni 50* ๐ *Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara Kilindi* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Handeni mkoani Tanga utakapokamilika utaboreha upatikanaji wa umeme katika Wilaya za Handeni na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Makamu Mwenyekitiย wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Bara, Ndg. Stephen Wasiraย akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga* ๐ *Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umeme* ๐ *Naibu Waziri Kapinga ashiriki ziara.* Wananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradiย ya umeme Vijijini ambapo katika wilaya hiyoย vijiji vyote vimefikishiwa umeme. Pongezi hizo zimetolewa kupitia Mbunge […]