Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni – Bumbuli – Korogwe (km 77), kwa kiwango cha lami ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo utajengwa kwa awamu. Akihutubia wananchi wa Wilaya ya Lushoto mkoani humo katika mkutano wa hadhara […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shirika la Reli Tanzania (TRC), limefanya ziara ya nchini Burundi na kukutana na wadau mbalimbali kufuatia kutiwa saini utekelezaji wa Mradi waย SGR awamu ya pili yaย kipande cha saba kutoka Uvinza Tanzania naย kipande cha nane kutoka Malagarasi – Msongati, Burundi. Mkatab wa Mradi huoย ambao umeasisiwa na Rais wa […]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwaunga Mkono Wasanii kwani ni Muhimu katika Kukuza Utalii, Uwekezaji na Urithi wa Utamaduni miongoni mwa Jamii. Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipolifungua Tamasha la Tuzo za Muziki la Trace Awards kwa mwaka 2025 linalofanyika Hoteli ya The Mora […]
๐Ni mradi wa Agri- Connect uliofungua fursa za kiuchumi Mbozi, Songwe Walanguzi wa mazao ya wakulima wa kahawa, mahindi, mbogamboga na karanga wameondoka baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Ilolo-Ndolezi yenye urefu wa Km 11.01 kwa kiwango cha lami katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya […]
โ Ahimiza Wazazi kusimamia elimu ya watoto wao ipasavyo Na.Mwandishi Wetu -SUMBAWANGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe.Deus Sangu ameonesha kuumizwa na mwitikio mdogo wa elimu Mkoani Rukwa huku akiwaonya wazazi wenye tabia ya kuwaelekeza watoto wao kujikosesha au kuchora picha katika mitihani yao kwa lengo la kujihusisha na shughuli za […]
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha Mkandarasi Bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme, katika Tuzo za Zanzibar International Construction Awards (ZICA) zilizofanyika Februari 22, 2025, Zanzibar. Akizungumza wakati akikabidhi Tuzo kwa Washindi, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. […]
Na. Lusungu helela-MBEYA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) walionufaika na mikopo ya elimu ya juu kwa asilimia 100 katika vyuo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Aagizaย wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi ๐Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini. Hayo ameyasema leo Februari 23, 2025 na Kapinga wakati akizungumza na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGAย -MAJALIWA _โช๏ธAsema ushiriki wa Rais Dkt. Samia kwenye tuzo hizo ni kielelezo cha namna anavyothamini na kuiishi Imani ya Dini ya Kiislam na uhifadhi wa Qurโaan_ _โช๏ธAsema tuzo hizo zinaimarisha imani ya dini na uwezo kwa vijana._ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kufundisha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI ya Kitaifa ya Usimamizi wa Uandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara imefanya kikao maalum ambapo Timu ya Wataalam imekabidhi Rasimu ya awali ya Mpango Kazi huo kwa Kamati hiyo kwa ajili ya mapitio na kuidhinishwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam […]