Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani *📍 Dodoma* Waziri wa Madini *Mhe. Anthony Mavunde* amesema, ujenzi wa Viwanda vinne vya Uchenjuaji Madini ya Shaba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii katika eneo la Mapango ya Amboni yaliyopo jijini Tanga. Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kupitia Serikali kuendelea kuhakikisha wanatoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum. Kikwete ameyasema hayo Jana Februari 15, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Asema amani ya nchi ilindwe kwa wivu mkubwa* 📌*Asisitiza uchaguzi Mkuu wa Oktoba usiligawe Taifa* 📌*Asema Watanzania waendelee kumuombea Rais Samia kwa kazi nzuri anazofanya* 📌 *Serikali kuboresha mipango yake kulingana na mahitaji ya dunia* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkali Malela Herbalist Clinic Limited imeandaa tamthilia kubwa na ya kipekee inayoitwa “African Spirit” ambayo inayolenga kuibua na kuonyesha historia,Mila,na Utamaduni wa kiafrika Kwa kina. Tamthilia hiyo ni nyenzo ya kuamsha fikra,kuonyesha thamani ya Mila za afrika na kuelimisha jamii Kuhusu umuhimu wa kuhifadhi urithi wa Africa Kupitia […]
Na Lusungu Helela- ARUSHA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi wa Umma hawafanyi kazi licha ya kulipwa mshahara kila mwezi. Amesema hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Tume ya Utumishi wa Umma nchini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi, leo Februari 13, 2025, ameshuhudia utiaji saini Mkataba wa kuanza rasmi Ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuketisha watazamaji 32,000 kwa mara moja katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma. Akizungumza na hadhara iliyojitokeza kushuhudia tukio […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *📌 Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini.* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme kwa wateja, ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Afisa Madini atoa Wito wachimbaji kuvitumia* *Abainisha fursa za Uwekezaji Sekta ya Uchimbaji mdogo Mbogwe* *Mbogwe* Uwepo wa Kituo cha Mfano cha Katente katika Mkoa wa Kimadini Mbogwe umeleta mapinduzi katika ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali kufuatia Wachimbaji Wadogo wa Madini kukitumia kituo hicho kuchenjua mawe yao jambo ambalo limewezesha ukusanyaji […]