Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2026 kwa gharama ya shilingi bilioni 336. Bwawa hili linajengwa kwenye mkondo wa Mto Ruvu na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM – Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, ameongoza kikao muhimu na wazalishaji wadogo na wa kati wa mbolea nchini ili kujadili suala la utekelezaji wa takwa la sheria ya Mazingira la kufanya tathmini ya mazingira. Katika kikao hicho kilicholihusisha Baraza la Taifa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _• Waanza ujenzi wa Zahanati kuondoa kero kwa wananchi_ _• Wasaidia upatikanaji wa urahisi wa kokoto katika marekebisho ya ujenzi wa barabara ya Iringa, Dodoma_ MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme inapotekelezwa ili kuepuka gharama inayoweza kutokea pale miradi inapokuwa imekamilika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 05 2025 […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tarehe: 04 Februari, 2025; Dodoma.Katika kuendelea kuboresha usambazaji wa taarifa za hali ya hewa kwa jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetembelewa na Wataalamu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Uhifadhi wa Mazingira na Maendeleo ya Kiuchumi la EMEDO ambalo linalojihusisha na uhifadhi wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TAARIFA: EWURA inatangaza Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Februari, 2025, saa 6:01 usiku. Wafanyabiashara wa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA pekee na yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezielekeza halmashauri zote nchini kuchukua jukumu la kulinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi zake. Ameyasema hayo leo Februari 4,2025 Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu swali la Mhe. Mhandisi Ezra John […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mteja* 📌 *Ataka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbele* 📌 *PURA, REA, EWURA zang’ara tathmini ya utendaji kazi Taasisi chini ya Wizara ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameeleza […]
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Waandishi wa Habari wa Kimtandao Tanzania (JUMIKITA), Shaabani Matwebe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewapatia waandishi wa habari wa mtandaoni nafasi kubwa ya kushiriki katika shughuli za kitaifa, tofauti na ilivyokuwa awali. Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya utangazaji wa takwimu za watalii na mapato yatokanayo na utalii kwa mwaka 2024, amezindua rasmi taarifa hizo katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa takwimu zilizotangazwa, jumla […]