Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Chama cha wamiliki wa Maroli Tanzania (TATOA) kwa kushirikiana na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) Wameilalamikia Mamlaka ya mapato Tanzania kwa kuchaji kodi ya ongezeko ya thamani (VAT) katika mizigo na gharama za uendeshaji Kwa wanachama Transity. Hayo yamebainishwa leo Aprili 25, 2025 Jijini Dar es […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌Watanzania watakiwa kuchangamkia ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta ya Dizeli na Petroli Vijijini 📌TAPSOA yaipongeza REA kwa kuhamasisha upatikanaji wa uhakika wa bidhaa za mafuta vijijini kwa usafi na usalama 📍Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuwahamasisha Watanzania kuchangamkia fursa ya mikopo kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kuharibu barabara inayounganisha […]
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za nishati na Maji (Ewura) imezitaka Kampuni za gesi kuongeza idadi ya mawakala wa usambazaji kwenye maeneo mengi ili kuepusha watu kwenda kununua gesi kwa wauzaji wasio rasmi. Wito huo umetolewa leo Aprili 24, 2025 na Meneja wa Ewura, Kanda ya Mashariki, Mhandisi Nyirabu […]
NA MWANDISHI WETU MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya dola, imefanikiwa kukamata jumla ya kilogramu 4,568 za dawa za kulevya, kuteketeza ekari 178 za mashamba ya bangi na magari saba, pikipiki tano na bajaji moja zimekamatwa kwa kuhusika katika shughuli za usafirishaji wa dawa hizo. […]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo upatikanaji wa maji na nishati ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na mafuriko. Amesema moja ya mkakati uliochukuliwa na Serikali ni kuunda mamlaka za mabonde zenye wajibu wa kufanya ufuatiliaji wa mwenendo upitishaji maji na […]
Baada ya wanachama wa CHADEMA wanaotokana na kundi linalojitambulisha kama G55 ndani ya chama hicho kuzungumza na waandishi wa habari, tarehe 22 Aprili 2025, na kueleza kukata tamaa kwao kutokana na kile walichokiita kiburi cha viongozi wao, hasa baada ya viongozi hao kushindwa kusaini kanuni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, hali inayowanyima haki […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wa filamu nchini,na wadau wa siasa, Jimmy Mafufu na Chiki Mchoma wamejitokeza hadharani kulaani vikali kauli za baadhi ya wanasiasa wanazodai zinatishia amani ya nchi. Wakizungumza na waandishi wa habari leo, Jimmy Mafufu amesema kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitoa matamko yanayohamasisha uasi, jambo ambalo ni hatari kwa […]
▪️ *Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini* ▪️**Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025** ▪️ *Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni* ▪️ *Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Madini* 📍 *Dodoma* Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya […]