Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 30)
FEATURE
on Feb 1, 2025
117 views 2 mins

Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kujikita katika kutatua changamoto za wakulima kwa haraka na ufanisi, ili kufanikisha matarajio ya sekta ya kilimo na Serikali kwa ujumla. Wito huo umetolewa, Januari 31, 2025, na Mwenyekiti wa Bodi ya TFRA, Dkt. Anthony Diallo, wakati wa kikao cha […]

FEATURE
on Jan 31, 2025
101 views 25 secs

Wasanii wa Bongo Flavor Soggy Doggy Hunter na Ruby wakitoa burudani katika hafla ya kutangaza mafanikio katika sekta ya utalii kupitia kampeni maalum ijulikanayo kama T506 usd inayofanyika  jijini Dar es salaam, tarehe 31 Januari, 2025 ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)

FEATURE
on Jan 31, 2025
106 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Reli Tanzania(TRC) kuhakikisha mradi wa reli ya Uvinza-Musongati unakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia thamani ya fedha ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji baina ya Tanzania, Burundi na DRC. Ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kusaini […]

FEATURE
on Jan 31, 2025
321 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA waziri mkuu kasim majaliwa kuwa mgeni rasmi Katika siku ya “VALENTINE EVE PATRIOTIC AWARDS 2025″” Itakayofanyika Katika ukumbi wa hayyat Regency Tarehe 13 jijini dar es salaam. Siku hiyo watakutana wataalumu wa saiko-sosholojia  Ambapo watazungumzia maswala ya ugonjwa wa kuambukiza ambao unasadikika ni hatari sana Kwa jamii na […]

FEATURE
on Jan 31, 2025
98 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tuzo za  za Kimataifa ya Kuhifadhi Quraan yatakayofanyika Aprili 23 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Aidha Taifa la Saudi Arabia, limetangaza neema katika mashindano hayo ikiwa ni pamoja na  kumleta mmoja wa maimamu wakubwa wa msikiti mtakatifu […]

FEATURE
on Jan 31, 2025
121 views 18 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho, juzi. Amesema amesikia chama hicho kikitangaza kwamba kinakwenda kujifungia kisha kije na […]

FEATURE
on Jan 31, 2025
90 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO-Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) tawi la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) umepongezwa kwa kusimamia vyema maslahi ya wafanyakazi, hali iliyosaidia kupunguza malalamiko yao kwa kiwango kikubwa. Pongezi hizo zimetolewa na Meneja wa Utawala na Rasilimali Watu wa TFRA, Naomi Fwemula, aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Victoria […]

FEATURE
on Jan 31, 2025
98 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema maandalizi ya kufunga taa na Camera za usalama yanendelea vizuri. Mara baada ya jiji la Dar es salaam kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila ametangaza rasmi kuanza kwa shughuli za biashara kwenye jiji hilo saa 24 […]

FEATURE
on Jan 30, 2025
86 views 2 mins

Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ametoa wito kwa Sekta binafsi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutangaza mazuri yatokanayo na utalii sehemu mbalimbali za dunia. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Januari 29,2025, alipokuwa katika mazungumzo na vyama mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini katika kikao […]