Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya Arusha-Holili ambayo iliathiriwa na mvua katika maeneo ya Kwamsomali na King’ori. “Mhe. Rais ametoa zaidi ya shilingi bilioni […]
Simanjiro WAKAZI wa Wilaya ya Simanjiro wameipongeza Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutatua kero ya muda mrefu ya barabara na madaraja wilayani humo. Wakizungumza wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu wilayani humo wakazi hao wamesema kabla ya ujenzi wa miundombinu hiyo walikuwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA y Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahariย ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Seraย zaย kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe […]
๐Vitongoji 33,657 vimefikiwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia 99.9. Hayo yamebainishwa leo tarehe 5 Januari, 2025 na Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mha. Jones Olotu wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA w Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia mvuaย zinazoendelea kunyesha katika safu ya milima ya Pare Wilayani Same. ” Ndugu zangu poleni sana […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Akagua kituo cha umeme Kidatu* Ataka usimamizi wa karibu kwa Mkandarasi anayekarabati mtambo namba mbili* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hivyoย Wizara ya Nishati itahakikisha wananchi wanapata nishati ya umeme ya uhakika. Dkt. Kazungu Ametoa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inajipanga kufungua mawasiliano kwa kuunganisha Barabara ya Langa-Mkuu na Msitu wa Tembo katika Kata ya Msitu wa Tembo- Ngorika kuelekea Ngange wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara. Kaimu Meneja wa Tarura Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Naftari Chaula amesema hayo wakati wa ukaguzi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa watanzania. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Ndungu wilayani Same katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi China Communication Construction […]
๐ Msako mkali wa “Matapeli” kufanyika Na Beatus Maganja, Kilombero. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi Pori la Akiba Kilomberoย ย ambalo ni mahsusi Kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu na wanyamapori hususani upatikanaji wa maji Kwa ajili ya […]