Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 38)
FEATURE
on Jan 2, 2025
141 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao, imemaliza Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka wa 2025 Kwa kutoa misaada mbalimbali Kwa watu wenye ulemavu na mahitaji Maalum. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Desemba 31, 2024 hafla hiyo ya utoaji msaada huo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Meya wa […]

FEATURE
on Jan 2, 2025
167 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Corporation anayejenga barabara ya Tungamaa-Mkwaja-Mkange Km 95.2 ambayo ni sehemu ya barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo ili achukue hatua […]

FEATURE
on Jan 2, 2025
396 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Dec 31, 2024
126 views 4 mins

📍 Waliohama kupokelewa vijiji jirani, waipongeza Serikali Na Beatus Maganja, Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amesema zoezi la kuwalipa fidia wananchi wa Kijiji cha Ngombo kilichopo ndani ya Pori la Akiba Kilombero Mkoani Morogoro linaendelea vizuri ambapo asilimia 93 ya wananchi wote tayari wamekwishalipwa fidia zao kwa ajili ya kupisha shughuli […]

FEATURE
on Dec 30, 2024
139 views 2 mins

Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu, na kwa kuzingatia kutakuwa na mkesha wa siku tatu katika Jiji la Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine […]

FEATURE
on Dec 30, 2024
131 views 46 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kitabu hiki nimeandika niweze kusaidia watu wengi japo watu wengi ni wavivu kusoma nataka niwakumbushe kwamba ufalme utatekwa na wenye nguvu lazima tulipe gharama ili tuweze kuishi hatma yetu tulopewa na Mungu. Hayo ameyazungumza Mbeba maono Mchungaji Gabriel Hassan katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha Nguvu ya utendaji wa […]

FEATURE
on Dec 30, 2024
107 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imefungua rasmi milango kwa wafanyabiashara kufanya biashara masaa 24 kuanzia Januari 2025, katika juhudi za kuboresha mazingira ya biashara na huduma kwa wananchi Hafla ya uzinduzi wa taa na kamera za CCTV katika Jengo la Machinga Complex limefanyika jana usiku wa,29 Desemba 2024, na kuhudhuriwa na […]

FEATURE
on Dec 29, 2024
228 views 40 secs

*Energy Updates* This energy project has truly brought significant changes, particularly in our daily production environment. It has become essential for carrying out our everyday activities. As a result, young people have started opening barbershops, while others are engaged in welding or selling cold drinks. Everyone is making the most of the opportunities provided by […]

FEATURE
on Dec 26, 2024
144 views 11 secs

Na Beatus Maganja Jumla ya watalii 770 kutoka viunga vya Mkoa wa Tabora na mikoa ya karibu wametembelea Bustani ya wanyamapori hai almaarufu TABORA ZOO Desemba 25, 2024 kujionea maajabu yaliyopo ndani ya bustani hiyo ikiwemo Nyumbu rafiki wa binadamu mwenye sifa za kipekee za kuambatana na watalii akiwaongoza katika vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya […]

FEATURE
on Dec 25, 2024
131 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA   Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961 Nchi ilizalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila mkoa ulijitegemea na hapakuwepo na mfumo wa gridi ya Taifa? Safari ya […]