Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 4)
FEATURE
on Apr 22, 2025
43 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ▪️Asema tusikumbatie tamaduni zinazokwenda kinyume na maadili na ustaarabu ▪️Prof. Kabudi asema sarakasi ni mchezo unaongoza kuliingizia Taifa fedha za kigeni WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana wajibu wa pamoja wa kuhakikisha urithi wa utamaduni wa Taifa unalindwa, unaenziwa na kuendelezwa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Amesema […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
35 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake. Kwa mujibu wa Waziri Mchengerwa […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
35 views 39 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *📌Taasisi 3000 zaunganishiwa umeme na fedha za Covid 19* Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B  (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya kuwapata wakandarasi wa mradi huo imeshatangazwa na inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
38 views 43 secs

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu  kutoka Ofisi za Umoja wa Afrika (AUC) wanaoratibu utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma za hali ya hewa wa “Intra-ACP Climate Services and related Applications Programme (ClimSA)”. Ziara hiyo ilifanyika tarehe 17 Aprili, 2025 ikioongozwa na mmoja wa Wasimamizi wa mradi […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
31 views 26 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ametoa wito kwa viongozi na jamii kuunga mkono safari ya mageuzi kwenye kazi za sanaa kwani inaleta matumaini makubwa. Mwinjuma ameeleza hayo wakati wa Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Aprili 22, 2025 […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
33 views 37 secs

📌Ni kupitia ruzuku ya bei mitungi ya gesi ya kupikia 📌Gairo yahamasika na nishati safi Wananchi Mkoani Morogoro wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa kuibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia ili kukuza uchumi wa watazania. Pongezi hizo zimetolewa na wananchi wa wilaya ya Gairo kwa wataalam […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
33 views 2 mins

Na Mwandishi wetu, Dodoma WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini Mhe Timotheo Mnzava […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
35 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi,  Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga – Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo ili uweze kukamilika na kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo. Aidha, Waziri […]

FEATURE
on Apr 22, 2025
36 views 20 secs

Wageni mbalimbali ambao wameshiriki Kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania wakisikiliza mada kuhusu mmong’onyoko wa maadili katika Kikao kazi cha 15 kinachofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Aprili 22, 2025.

FEATURE
on Apr 21, 2025
41 views 9 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa salamu za Sikukuu ya Pasaka katika Tamasha la Mtoko wa Pasaka lililoandaliwa na Wasanii wa Muziki wa Injili nchini. Hafla hiyo iliyofanyika Jumapili tarehe 20 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, jijini Dar es Salaam, ilihusisha […]