Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 44)
FEATURE
on Dec 10, 2024
117 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya* Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi* Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika kwenye Sekta ya nishati nchini Tanzaniaย  katika kipindi cha miaka mitatu itazinufaisha Nchi Wanachama […]

FEATURE
on Dec 10, 2024
179 views 3 mins

Na Kassim Nyaki, NCAA. Zoezi la kunadi vivutio vya utalii vilivyopo eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka limefika Zanzibar ambapo kampeni hiyo imepokelewa kwa kishindo, shangwe na bashasha kwa wananchi wa Zanzibar. Meneja wa Idara ya huduma za Utalii na Masoko NCAA, Mariam Kobelo ameeleza kuwa Zanzibar ni […]

FEATURE
on Dec 9, 2024
127 views 34 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida amefika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza kumfariji Ndugu Kheri James ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini aliyefiwa na baba yake mzazi Desemba 03 mwaka huu. Mwenyekiti Kawaida akiwa nyumbani hapo amesaini kitabu cha maombolezo na kuhani msiba […]

FEATURE
on Dec 9, 2024
123 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema waliohusika na tukio hilo lazima wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake. -Asisitiza ifike wakati Dola lazima iheshimike. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amelaani vikali kitendo cha kushambuliwa kwa watumishi wa TRA wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria eneo la Tegeta Wilaya ya Kinondoni […]

FEATURE
on Dec 9, 2024
188 views 27 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya maliasili na utalii Tanzania imesema kuwa itaendelea kuumga mkono juhudi za serikali chini ya raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia suluhu Hassan katika kukuza sekta ya utalii ndani na nje ya nchi Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na katibu mkuu wa Wizara ya maliasili na utalii […]

FEATURE
on Dec 9, 2024
134 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kulinda afya na kutunza mazingira. Hayo […]

FEATURE
on Dec 7, 2024
152 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma Awataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili Wizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa  kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya […]

FEATURE
on Dec 7, 2024
130 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi  ( Deputy Assistant Secretary,  Bureau of International  Narcotics And Law Enforcement) wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja na ujumbe wake. Ziara hiyo imelenga kuipongeza […]

FEATURE
on Dec 6, 2024
138 views 9 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa maagizo mazito baada ya kukutana na kuzungumza na wananchi wa jamii ya Kimasai wa Ngorongoro. Moja kati ya maagizo hayo ni kuundwa kwa tume ya malalamiko itakayobeba kero na changamoto zinazowakabili wananchi hao baadhi yao waliokuwa wakihama kwa […]

FEATURE
on Dec 6, 2024
145 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesemakuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo  kwenyemipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiyaya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi  hizo kutumiaumeme kwa ufanisi na hivyo kupunguza upotevu wa umeme. Dkt. […]