Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Jeshi la polisi kanda maalumu dar es salaam limesema kuwa kuanzia April 18,2025 waumini wa dini ya kikristo wanaanza kuungana na wenzao duniani Kwa kusheherekea sikukuu ya pasaka itakayo sheherekewa Tarehe 20, April 2025 ambayo itahusisha Ibada mbalimbali zitakazo fanyika Katika nyumba za Ibada usiku na mchana Ameyasema […]
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano. Wasira ametoa kauli hiyo jana akiwa katika mkutano wa hadhara alipokuwa akizungumza na wana CCM wilayani Urambo mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa […]
Na Mwandishi Wetu,Dodomaa MBUNGE wa Jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei ametajwa kuwa kinara wa kuzungumzia mahitaji ya wananchi kwa kuwa miongoni mwa wabunge vinara wa kusema, kuchangia au kuhoji katika kila kikao cha bunge la 12 linalotarajiwa kuvunjwa mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu. Kwa mujibu wa tovuti ya Bunge la Tanzania inaonyesha Dk.Kimei […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Soko la Hisa Dar es salaam DSE limesiani Makubaliano (MOU) na jumiya ya Fintech society Tanzania yenye lenga la kukuza matumizi ya suluhisho za kiteknolojia katika ushirikinw masoko ya mitaji na kuwawezesha watanzania kupata elimu ya Fedha. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Aprili 17 wakati wakusaini Makubaliano […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA LSF kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la Smile for Community (S4C) leo limetangaza rasmi msimu wa nne wa mbio za Run for Binti zinazotarajiwa kufanyika tarehe 24 Mei 2025 katika viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mbio hizi hufanyika kila mwaka kwa lengo la […]
Bunda, Mara 📌Amtaja kuwa ni hazina kubwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme 📌Asema atakumbukwa kwa mchango wake wa kuwaunganisha wafanyakazi TANESCO. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dokta.Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu ya wananchi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli ya maziko ya aliyekua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania […]
Na Mwandishi Wetu, Mwanza NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya nchi kwani zina mchango mkubwa kwa taifa. Ameyasema hayo leo Aprili 16, 2025 wakati akifungua Mdahalo wa Kitaifa ulioandaliwa na Media Brains kwa kushirikiana na Kituo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa […]
OR-TAMISEMI OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewasilisha bungeni makadirio ya mapato kwa mwaka 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake. Bajeti hiyo imeongezeka kutoka Shilingi trilioni 10.125 zilizotengwa mwaka 2024/25 hadi kufikia Shilingi trilioni 11.783 na kuwa na ongezeko la […]