Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Ndg. Ludovick Nduhiye amefanya ziara ya kutembelea ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuzitambua Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Uchukuzi, kufahamu majukumu ya kiutendaji na […]
Na Jacob Kasiri-SITALIKE Furaha ni kupokezana inaweza kuwa kwa watu wa jamii mbili tofauti kwa wakati mmoja, tukio hili limejiri leo tarehe 29 Oktoba, 2024 wakati maafisa na askari wa Hifadhi ya Taifa Katavi pamoja na wadau wa uhifadhi na utalii wakisherehekea kilele cha miaka 50 zilienda sanjari na vifijo na ndelemo za wanafunzi wa […]
Na Jacob Kasiri KATAVI Furaha imetamalaki katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hifadhi ya Taifa Katavi leo tarehe 29 Oktoba, 2024 wakati wa sherehe hizo baada ya mradi wa kuhifadhi ikolojia ya Hifadhi za Taifa Katavi, Milima Mahale na Ushoroba unaounganisha hifadhi hizi almaarufu KAMACO kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa wataalamu wa ndani kuchangamkia fursa zinazotokana na miradi mikubwa ya ujenzi nchini. Akizungumza Wakati akimuwakilisha Naibu waziri mkuu na waziri Wa Nishati na Madini Doto Biteko katika Kongamano la Tano la Bodi ya Usajili wa Wakadiriaji Majenzi na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameshiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership – Southern Africa and Africa Coordination Unit – GWPSA – Africa) uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2024, jijini Pretoria, Afrika Kusini. Rais Mtaafu Dkt. Kikwete ni Mwenyekiti wa Bodi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwanza. Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa katika bandari za Kemondo, Bukoba na Mwanza Kaskazini unatarajiwa kuboresha ufanisi na uwezo wa huduma […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza dhamira ya Serikali ni kupeleka umeme maeneo yote* Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa kilometa 1. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ili kuhakikisha Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inafanya kazi zake kwa ufanisi, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu imekabidhi rada mbili za hali ya hewa zilizopo Mwanza na Dar es salaam. Rada hizo awali zilikuwa zinafanyiwa uboreshaji na kampuni ya Enterprises Electronic Corporation (EEC) […]
Na Mwandishi Wetu Ni ya upelekaji umeme kwenye vijiji, vitongoji na Nishati Jadidifu* Yawa kinara matokeo ya tathmini ya utendaji kazi kwa Taasisi za Wizara ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwemo usambazaji umeme […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi* Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maisha* Aagiza kila Taasisi kuwa na Vigezo vya Upimaji Utendaji Kazi* Ataka Watendaji waache alama ya kazi, si kulinda vyeo* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto […]