Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya Nishati yawataka wadau wakiwamo Puma Energy kushirikiana na Serikali, kuitafsiri kwa vitendo azma ya Serikali Dkt. Mataragio atoa mwelekeo mpya ufanikishaji wa matimizi ya nishati safi ya kupikia nchini -DAR ES SALAAM WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kuendelea kushirikiana […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mchengerwa aeleza ni idadi kubwa tofati na Uchaguzi wa mwaka 2019, awataka Watanzania kujitokeza kuhakiki majina Mkoa wa Pwani kinara uandikisha kwa asilimia 112.61 -DAR ES SALAAM WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Nchengerwa amesema wananchi waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aeleza mkakati wa kuongeza wigo ukusanyaj nchini, amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kumuamini DAR ES SALAAM KAMISHNA mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda ameelezzea siku 100 za utumishi wake katika nafasi hiyo huku akisisitiza kuwa mamlaka hiyo inaamini katika kuwa na ushirikiano bora na uhusiano imara na walipa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM BENKI ya NMB Plc imesisitiza kuendelea kutekeleza dhamira yake ya kuyawezesha makampuni kutoka Korea Kusini yenye nia ya kuwekeza hapa nchini, ikiwa ni sehemu ya jitihada zake za kuchangia ukuaji wa uchumi endelevu. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Miamala Benki ya NMB Linda Teggisa wakati […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mikataba yasainiwa rasmi yenye thamani ya Shilingi trilioni 1.18 Waziri Mchengerwa amshukuru Rais Dkt Samia kwa kuweka historia ya miradi mikubwa DAR ES SALAAM HISTORIA imeandikwa katika Jiji la Dar es Salaam, baada ya utiaji saini mikataba nane ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya Halmashauri tano za mkoa huo, kupitia Mradi […]
Na Happiness Shayo MAFINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewahimiza wawekezaji wa mazao ya misitu kutoka nchini China kuanzisha viwanda kwa lengo la kuuza bidhaa zilizokamilika kwa ajili ya masoko ya nje ya nchi. Ameyasema hayo leo Oktoba 27,2024 wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Wawekezaji wa Mazao ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MPWAPWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (Mb) amesema maisha ya ndoa ni mazuri huku akimtaka Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mpwapwa Ndg.Mgutho Thabit Mathew aliyefunga pingu ya maisha na Mke wake Bi. Herieth Kileo kuishi maisha yenye upendo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe. Kapt. George Mkuchika, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya mambo makubwa kwa maendeleo ya Watanzania kwa kuboresha sekta mbalimbali zikiwemo za elimu, afya na barabara. Mkuchika amesema hayo Oktoba 26, […]
Na Happiness Shayo IRINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa kituo cha utalii cha Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na kituo cha utafiti cha Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) inayotekelezwa chini ya mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na […]