Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 62)
FEATURE
on Oct 26, 2024
133 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapambano dhidi ya rushwa si jukumu la TAKUKURU pekee bali kila Mtanzania anapaswa kushiriki kikamilifu kusimamia maadili na kupinga vitendo vya rushwa. Amesema kuwa rushwa inaweza kusababisha kutofikiwa kwa jukumu la Serikali la kuleta ustawi wa wananchi linalotamkwa katika Ibara ya 8(1)[b] ya Katiba ya […]

FEATURE
on Oct 26, 2024
133 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ARGeo-C10 itasaidia  Afrika kufikia suluhisho la upatikanaji Nishati Safi* Awaita Washirika wa Maendeleo kuendeleza Jotoardhi Tanzania* Dkt.Mataragio asema Tanzania imetumia ARGeo-C10 kutangaza hazina ya Jotoardhi* Shirikisho la Jotoardhi Afrika (AGA) lasema ni Kongamano la aina yake* Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar, Mhe. Shaibu Kaduara […]

FEATURE
on Oct 26, 2024
448 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea na kuzungumza na Mzee Yusuf Makamba leo, tarehe 25 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam. Balozi Nchimbi alifika nyumbani kwa Mzee Makamba, eneo la Wazo Hill, kumfariji kufuatia msiba wa mtoto wake, Bi. Sakida Rajab Yusuf Makamba, aliyefariki […]

FEATURE
on Oct 25, 2024
126 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema maeneo yenye vyanzo vya Nishati Jadidifu yameshatambuliwa* Mikoa 16 yatajwa kuwa na rasilimali ya Jotoardhi* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali itaendelea kuwashirikisha wawekezaji katika maeneo yenye nishati jadidifu ili kuyaendeleza na hivyo  kuwezesha azma ya nchi kuwa na umeme unaotokana na  vyanzo mchanganyiko. […]

FEATURE
on Oct 25, 2024
137 views 3 mins

Na Beatus Maganja WAMACHINGA Yapewa kongole Kwa Kasi ya ukusanyaji maduhuli, Utatuzi wa migogoro ya mipaka Dodoma Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Oktoba 24, 2024 katika ukumbi  namba 44 jengo dogo la utawala bungeni Dodoma imewasilisha taarifa ya utendaji wake ya mwaka 2023/24 kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, […]

FEATURE
on Oct 25, 2024
149 views 11 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wakuu wa Polisi Afrika Mashariki Wakutana Dar es Salaam Kupanga Mikakati ya Kukabiliana na Uhalifu wa Kikanda Wakuu wa Polisi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana  jijini Dar es Salaam Oktoba 25 ,2024 kwa mkutano wa 8, wakilenga kujadili changamoto za amani na usalama katika […]

FEATURE
on Oct 25, 2024
170 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA Imeelezwa kuwa ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), inayoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia sita mwaka 2025, itasaidia kuiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kuongeza kiwango cha uwekezaji na hivyo kuongeza ajira na kupunguza umasikini. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma Oktoba […]

FEATURE
on Oct 25, 2024
179 views 12 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MIAKA mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani,  Tume ya Madini imeainisha mafanikio yake ikiwemo ongezeko la  ukusanyaji wa maduhuli, kuongezeka kwa usimamizi kwenye biashara ya madini na ukaguzi wa migodi na mazingira sambamba na ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini. Akizungumza  na […]

FEATURE
on Oct 24, 2024
232 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Oktoba 24, 2024 ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya awali ya ujenzi wa zaidi ya kilomita 168 za barabara za Mkoa wa Dar es Salaam, zitakazojengwa na mradi wa DMDP awamu […]

FEATURE
on Oct 24, 2024
118 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA NI YA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VIDOGO VYA BIDHAA ZA MAFUTA VIJIJINI* MKOPO WA HADI SHILINGI MILIONI 133 KUTOLEWA* Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inahamasisha wananchi kuchangamkia fursa ya mikopo kwa ajili ya Kuwezesha ujenzi na Uendeshaji wa vituo vidogo vya bidhaa za mafuta ya Petroli na Dizeli […]