Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire – Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa juzi Oktoba 22, 2024 Mkoani […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi* Akaribisha uwekezaji katika vyanzo vya Jotoardhi Tanzania* Afungua Kongamano la Jotoardhi Afrka ( ARGeo-C10)* Kapinga amshukuru Dkt.Samia kwa Dira inayoiimarisha Sekta ya Nishati* Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema Bara la Afrika linapaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana ili kuweza kuendeleza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA AELEKEZA UTOAJI RUZUKU KWENYE MAJIKO YA UMEME Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amepongeza jitihada za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wananchi wanafikishiwa Nishati Safi ya Kupikia. Ametoa pongezi hizo Oktoba 23, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea Banda la REA […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila usiku wa kuamkia leo Oktoba 23,2024 amefanya ziara Wilaya ya Ilala na Kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa saa 24 pia ametembelea na kufanya mazungumzo na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania na Jangwani Jijini Dar es Salaam. Ziara ya RC […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wateja 3,465 watanufaika na Mradi huo Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo jioni, tarehe 22 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, mkandarasi, kampuni ya CCC (Beijing) Industrial and Commercial Ltd; kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Inatekeleza mkakati wa Nishati safi ya kupikia kwa vtendo, mitungi ya gesi (LPG) 452,445 kusambazwa kwa bi ya ruzuku -DAR ES SALAAM KATIKA kuhakikisha asilimia 80 ya Wananchi wanatumia Nishati Safi za Kupikia ifikapo Mwaka 2034, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea na jitihada mbalimbali za uelimishaji, uhamasishaji na usambazaji wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katika Kipindi cha Miezi mitatu ya robo mwaka wa fedha 2024/2025 bandari ya Tanga ilipangiwa kukusanya mapato kiasi cha Shilingi bilioni 11 ambapo mpaka mwezi September wamevuka lengo na kukusanya kiasi cha Shilingi bilioni 18.6. Mafanikio ya Maboresho ya bandari ya Tanga yanaendelea kuonekana kutokana na ongezeko la Meli zinazoitumia bandari […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tanganyika, Katavi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa vivuko na daraja la Mto Mnyamasi lenye urefu wa mita 20 pamoja na kufungua barabara ya Kambanga-Ifinsi yenye urefu wa Kilomita 37 inayounganisha vijiji vya Ifinsi, Kambanga na Bugwe vilivyopo kata ya Tongwe Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi* Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake katika kuiimarisha Sekta ya Nishati nchini. Pongezi hizo zimetolewa […]