Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 7)
FEATURE
on Apr 16, 2025
46 views 3 mins

Morogoro, Tarehe 15/04/2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imepongezwa kwa uboreshwaji wa utabiri wa hali ya hewa na taarifa za tahadhari za matukio ya hali mbaya ya hewa nchini. Hayo yamesemwa na Mhe. Dkt. Rozalia Rwegasira,  Kaimu Katibu Tawala Mkoa, sehemu ya uchumi na uzalishaji wa mkoa wa Morogoro wakati wa ufunguzi wa […]

FEATURE
on Apr 16, 2025
39 views 49 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya *kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon* ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 – 10, 2025 Jijini Mbeya. RC Chalamila ameeleza […]

FEATURE
on Apr 15, 2025
48 views 2 mins

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kimesema hafla ya utoaji tuzo za uandishi wa habari za maendeleo, maarufu kama Samia Kalamu Awards itafanyika April 29 mkoani Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mkuu wa TAMWA Dk. Rose […]

FEATURE
on Apr 15, 2025
45 views 3 mins

๐Ÿ“Wakiri uhifadhi kuwa na manufaa. Na Mwandishi wetu, Lindi. Miradi ya ujenzi wa madarasa mawili yenye thamani ya shillingi millioni 60  katika kijiji cha Ngumbu wilaya ya Liwale mkoani Lindi inayotekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA chini ya ufadhili wa ushirika wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) na […]

FEATURE
on Apr 14, 2025
38 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awaeleza jinsi Serikali ya Rais Samia inavyoitekeleza kwa vitendo Dhana ya Utawala Bora ili kustawisha Jamii._ Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku alikua mmoja wa Watoa mada kwenye Sherehe ya Uzinduzi wa Wiki ya Wazazi kwenye mkoa wa Kagera wakati wa Kongamano kubwa la Maadili lililofanyika […]

FEATURE
on Apr 14, 2025
59 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA Imesema kuanzia Tarehe 1 Mei 2025 inawafungia matumizi ya Namba Kwa wale ambao hawajajitokeza kuchukua vitambulisho vyao Angali wametumiwa meseji Katika simu zao. Ameyasema hayo Leo 14 April 2025 Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA James Wilbert Kaji Amesema dhamira […]

FEATURE
on Apr 14, 2025
37 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *โ€ข Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni* *โ€ขApongezaย  jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa* LINDI: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema wasichoke kuichangia timu ya Namungo inapohitajika, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta […]

FEATURE
on Apr 14, 2025
33 views 3 secs

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC) ambapo kupitia ushirikiano huo masuala mbalimbali yamekuwa yakifanyika kuiendeleza Sektaย  ikiwemo kubadilishana ujuzi na utaalam. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo […]

FEATURE
on Apr 14, 2025
41 views 36 secs

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib mhe, Idrissa Mustafa Kitwana amempongeza Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende na Mama kwa maono ya kuanzisha  Mashindano ya Dkt Samia & Dkt Mwinyi Cup katika kusapoti jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuimarisha michezo nchini. Mheshimiwa Kitwana amesema kufanya hivyo ni uzalendo wa hali ya juu na itatoa fursa kwa […]

FEATURE
on Apr 14, 2025
40 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu, Lindi Wananchi wa Kijiji cha Nditi, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameanza kuona manufaa ya vituo vya Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), wakisema kuwa hatua hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uvamizi wa wanyamapori wakali na waharibifu, hususan tembo. Wakizungumza Aprili 13, 2025 katika mkutano wa elimu kuhusu […]