Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 82)
FEATURE
on Sep 8, 2024
223 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa Jamii  Kuwatunza Wazazi na Kuwaombea Dua* Asisitiza Upendo Miongoni mwa Wanajamii* Watanzania Wasisitizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa  kuwatunza na kuwajali  wazazi […]

FEATURE
on Sep 8, 2024
241 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ABU DHABI Wawekezaji waonesha nia kuwekeza kwenye biashara ya uwindaji wa kitalii na hoteli nchi Maonesho ya Kimataifa ya Uwindaji wa Kitalii yanayojulikana kwa Jina la “Abu Dhabi International Hunting and Equestrian Exhibition – ADIHEX 2024” yamezaa matunda kufuatia idadi kubwa ya wawekezaji waliohudhuria katika maonesho hayo yaliyoanza tarehe 31 Agosti […]

FEATURE
on Sep 8, 2024
224 views 32 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati ya Safi ya Kupikia inagusa makundi yote ya Wanachi* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Mhe. Kapinga  ameyasema hayo leo Septemba […]

FEATURE
on Sep 7, 2024
253 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wafikia asilimia 98* Mkandarasi alipwa Sh.Trilioni 6.3 kati ya Sh.Trillioni 6.5* Kapinga aahidi kuendeleza usimamizi makini* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Nishati kuendelea kuusimamia ipasavyo Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa […]

FEATURE
on Sep 7, 2024
274 views 4 mins

Ni yanayozitaka Mamlaka na Taasisi za Umma kupanga na kutekeleza kwa pamoja majukumu mbalimbali ya Serikali* Na Veronica Simba, WMA Dodoma Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Dodoma imetoa elimu ya vipimo kwa Watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), hivyo kutimiza maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan yanayozitaka Mamlaka na Taasisi […]

FEATURE
on Sep 7, 2024
538 views 22 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mama wa hayati Steven Kanumba Ni miongoni mwa wageni wanaohudhuria tamasha la Faraja ya Tasnia ambalo linalenga kuwaenzi wasanii na wanatasnia wote waliotangulia Mbele za haki. Mama Kanumba amewaambia waandishi kuwa walioofikiria kuja na tamasha hilo wamefanya jambo jema kwani kuwaenzi wasanii na wengine walio kwenye tasnia ni […]

FEATURE
on Sep 6, 2024
272 views 3 mins

Na Zainab Ally – Mikumi. Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ya Visiwa vya Shelisheli imevutiwa na Hifadhi ya Taifa Mikumi iliyopo mkoani Morogoro na kuahidi kuwa mabalozi kindakindaki wa kuitangaza hifadhi hiyo inayosifika kwa kuwa na wanyama wanne wakubwa (The big four). Hayo yamesemwa leo Septemba 6, 2024 na Makamu Mwenyekiti wa Kamati […]

FEATURE
on Sep 6, 2024
169 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatius Mativila  amesema kuwa ili kufikia ujenzi wa kilomita 144,430 ya barabara ya ‘network’ ambayo iko chini ya TARURA wamekuwa wakihangaika na teknolojia mbalimbali ili angalau watumie fedha kidogo ziweze kujenga sehemu kubwa iwe inapitika. Mativila ameyasema hayo leo […]

FEATURE
on Sep 5, 2024
270 views 25 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amehudhuria Mkutano wa 16 Kikao cha 8 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Septemba 5, 2024 jijini Dodoma. Shughuli za bunge  leo zilikuwa ni pamoja uchaguziwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dkt. Gladness Salema.

FEATURE
on Sep 5, 2024
188 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, jijini Dodoma […]