Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI -Awataka viongozi na watendaji wa Mkoa huo kutumia mafunzo hayo kuleta ufanisi wa kazi zao za kila siku. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi na watendaji Mkoani humo kutumia mafunzo ya uongozi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi za kila siku ikiwemo kutumia fedha […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia ili kuwa kimiminika-LNG. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga alipokuwa akijibu swali bungeni kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa suala la kuilinda nchi ni wajibu wa Watanzania wote kwa ushirikiano wa vyombo vya ulinzi na usalama. Majaliwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vina jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonyesha uvunjifu wa amani popote pale . […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Elimu ya Matumizi sahihi ya mbolea na usajili wa wakulima vyawavutia wakulima Katavi Wakulima nchini wametakiwa kuzingatia kanuni bora za kilimo ikiwa ni pamoja na kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea kwenye shughuli zao za kilimo. Aidha, wakulima wametakiwa kuacha kilimo cha mazoea na kufuata kanuni bora za kilimo ikiwa ni […]
Na Mahamudu Jamal WMA Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), imewahamasisha watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Ilala, kujenga tabia ya kuwa makini na namna vipimo vinavyotumika kila wanapopata huduma na mahitaji mbalimbali. Afisa Vipimo kutoka WMA Ilala, Yahaya Tunda, amesisitiza hay oleo, Agosti 28, 2024 wakati akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azungumzia suala la magari ya Serikali kufungwa mfumo wa CNG* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), inajenga vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) mkoani Dar es Salaam (viwili) na mkoani Pwani (kimoja) huku […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ——————————————Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimetoa rai kwa Waajiri nchini kuwapa wafanyakazi wao haki ya kujiunga na Vyama vya Wafanyakazi ili kuleta tija katika maeneo ya kazi. Akitoa salamu za TUGHE katika ufunguzi wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE iliyoanza jana Jumatatu Tarehe […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asema ni matokea ya ziara ya Rais Samia nchini Zambia Aitaka TAZAMA ijiendeshe kwa faida Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amepokea gawio la Serikali la zaidi ya Shilingi Bilioni 4.35, kutoka Kampuni ya Bomba la Kusafirisha Mafuta la Tanzania – Zambia (TAZAMA). Dkt. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe Mkoani Kagera. Mashindano hayo […]