Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 91)
FEATURE
on Aug 1, 2024
246 views 53 secs

Na Anton Kitereri Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa Israel kumuua kamanda wa Hezbollah mjini Beirut na mauaji ya kiongozi wa Hamas mjini Tehran yanaashiria “uzidishaji hatari” wa hali ya machafuko  huko Mashariki ya Kati. Guterres alisema katika taarifa yake kwamba kipindi hiki “ juhudi zote zapaswa kujikita kwenye mchakato wa […]

FEATURE
on Aug 1, 2024
247 views 52 secs

Na Anton Kiteteri .Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema anaelewa juhudi za Mzize kiwanjani hasikilizi maneno ya mashabiki ataendelea kumtumia kwasababu kile anachomuelekeza anafanya huku akiweka wazi kuwa suala la kufunga hakuna mchezaji anafundishwa inatokea tu. “Mbinu zote ninazomuelekeza anazifanya na amekuwa mchezaji ambaye anafanya mambo mengi uwananjani huwa sisikilizi nini kinasemwa naangalia nini […]

FEATURE
on Aug 1, 2024
296 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India, Marekani, Pakistan na Brazil. Hayo yamesemwa leo (Alhamisi, Agosti Mosi, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na viongozi na wananchi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa Maonesho ya […]

FEATURE
on Aug 1, 2024
295 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia kufungua Mkutano Mkuu 2024* Awataka Mawakili kuchaguana kwa haki* Wananchi zaidi ya 7358 wamefikiwa na TLS kupata huduma* TLS wampongeza Rais Samia kuundwa kwa Tume ya Haki Jinai* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na […]

FEATURE
on Aug 1, 2024
230 views 40 secs

Na Anton Kitereri Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano kuanzia Agosti 4 katika mkutano uliofanyika mjini Luanda chini ya upatanishi wa Rais wa Angola, ofisi ya Rais wa Angola imedhibitisha. Nchi ya Angola imekuwa mpatanishi katika mzozo huo wa mashariki mwa DRC katika […]

FEATURE
on Aug 1, 2024
44 views 4 mins

Na Madina Mohammed PWANI RUFIJI Ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Rufiji imewashukuru TMDA Kwa kuwapatia msaada wa dawa na dawa hizo kusambazwa Katika zahanati zilizopo katika Halmashauri ya utete Ili wananchi wapate huduma za dawa bila ya kusita Amesema Tunawashukuru uongozi wa TMDA Kwa kuona umuhimu wa kutuletea dawa kama Wilaya,sisi kama Wilaya tunalojukumu […]

FEATURE
on Jul 31, 2024
218 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeongeza udahili wa wanafunzi wa Taaluma za Afya ngazi ya kati, kutoka wanafunzi 20,030 mwaka 2020 hadi kufikia wanafunzi 25,390 ili kuounguza changamoto za upatikanaji wa watumishi wa kada hiyo. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Julai 31, 2024 wakati akitaja […]

FEATURE
on Jul 31, 2024
192 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kutoa vibali vya ajira kwa kila Mwaka katika Sekta ya Afya ili kupunguza changamoto ya uhaba wa watumishi kutokana na maendeleo katika Sekta hiyo. Rais Dkt. Samia amesema hayo leo Julai 31, 2024 wakati akifunga Kongamano […]

FEATURE
on Jul 31, 2024
236 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia Mtwara na sasa yuko Lindi, imewahamisha viongozi waandamizi wa vyama vya ACT Wazalendo, CUF na Chadema walioamua kujiunga CCM leo, wakisindikizwa na mamia ya wanachama waliorejesha kadi zao za vyama vya […]

FEATURE
on Jul 30, 2024
291 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA t -Zaidi ya walimu 1000 kupanda Treni ya ya Umeme SGR kwenda Hifadhi ya Taifa Mikumi-Morogoro -Lengo ni kuunga mkono Juhudi za Mhe Rais Dkt Samia kufuatia  uwekezaji mkubwa alioufanya katika usafiri wa reli ya SGR Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 30,2024 akiongea na […]