Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umekabishiwa vifaa vya kilimo na Kampuni ya Kichina ya AMEC Group. Akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo leo Julai 19, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida amesema vifaa hivyo lengo ni kuwasaidia vijana kujikwamua […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri mkuu wawataka Wamiliki wa nembo nchini kuhakikisha wanafuatilia bidhaa zao sokoni Kwa kutoa taarifa Katika tume ya ushindani FCC pale wanapobaini uwepo wa bidhaa zao wanapoziagiza nchini na wanapoeka alama za bidhaa zao (NEMBO) na kuhakikisha wanadhibiti bidhaa bandia haziingii nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Dkt.Mataragio azindua programu ya ushirikiano ya TriDEP Inalenga kuongezea Wataalam uwezo katika eneo la Nishati Jadidifu TriDEP kugusa pia uimarishaji wa Gridi ya Taifa* Serikali ya Marekani, India na Tanzania zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika miundombinu ya umeme unaotokana na Nishati Jadidifu ili iweze kuchangia ipasavyo katika gridi ya Taifa kama ilivyo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA “Mnamo tarehe 6/11/2022 watu wawili waliojiita Wanachama wa Young Africans SC walifungua kesi Mahakama ya Kisutu, Bwana. Juma Ally pamoja na Geofrey Mwipopo. Walifungua kesi dhidi ya Wajumbe wa Baraza la Wadhamini ambao ni Mama yetu Fatma Karume, Abeid Mohamed Abeid na Mzee Jabir Katundu kwa madai ya kuwa hawalitambui baraza […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Viongozi wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo wanatarajia kufanya ziara ya kikazi kwenye mikoa 22 na majimbo 125 ya Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu (2024) na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani (2025) Taarifa ya chama hicho iliyotolewa mbele ya […]
Na Veronica Simba WMA Ataka Taasisi nyingine ziige mfano wake* Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Selemani Jafo, amepongeza Wakala wa Vipimo (WMA) kwa utendaji kazi mahiri na wenye weledi na kutoa wito kwa Taasisi nyingine zilizo chini ya Wizara hiyo kuiga mfano wake. Ametoa pongezi hizo mapema leo, Julai 17, 2024 jijini Dodoma […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF Makao Makuu Dodoma. RC Chalamila baada ya kupokea ugeni huo amefanya mazungumzo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA,) inamshikilia Shaban Musa Adam (54,) mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya ambapo pia amekamatwa na kemikali bashirifu na dawa tiba zenye asili ya kulevya takribani lita 16,523 ambazo zimekwisha muda wa matumizi. Akizungumza na waandishi […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Atoa rai kwa wakazi wa Dar es salaam na watanzania kujitokeza kwa wingi kupatiwa matibabu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 16,2024 amepokea Melivita ya matibabu iitwayo Peace Ark ya Jeshi la ukombozi la watu wa China katika Bandari ya Dar es Salaam. RC Chalamila […]