Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya Azam Media Limited. Vifaa hivyo ni pamoja na Magari ya kisasa ya kurushia matangazo (OB Van), kamera za kisasa pamoja na mfumo wa kusaidia maamuzi viwanjani (VAR). Vifaa hivyo vilivyogharimu […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kufanya filamu nyingine ya Royal Tour katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi baada ya kujionea wanyamapori mbalimbali katika Hifadhi hiyo. Dkt. Samia ameyasema hayo leo Julai 15, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KUTOKANA NA Sera nzuri za Uwekezaji zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Mtwara umepata mwekezaji mpya wa uchimbaji wa gesi asilia atakayezalisha futi za ujazo milioni 100 kwa siku. Hayo yamebainishwaย Julai 11, 2024 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa […]
Na Beatus Maganja Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa za ufugaji wa wanyamapori zinazopatikana katika Taasisi ya TAWA. Ameyasema hayo leo Julai 13, 2024 alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Katika Maonesho ya 48 ya biashara […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba TMDA imewataka watanzania kuacha kutumia dawa kiholela bila kufuata maelekezo na ushauri wa wataalamu badala yake amesisitiza matumizi sahihi ya dawa Ili kupunguza tatizo la usugu wa maradhi. Hayo Ameyasema Leo 9 julai 2024 mkurugenzi mkuu wa TMDA Adam Fimbo Amesema Katika […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezitaka nchi za Afrika kuwa na sera nzuri za uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuharakisha maendeleo ya sekta hiyoย na kukuza uchumi wa Afrika. Akizungumza wakati wa kuzindua mpango mkuu wa maendeleo wa mifumo ya chakula 2030 uliofanyika jijini Dar es Salaam, […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu waziri wizara ya Uchukuzi David Kihenzile ameeleza kuridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato mkoani Dodoma ambao umefikia asilimia 67.6 kwa upande wa miundombinu ya njia ya kurukia ndege huku ukiwa umefikia asilimia 32.21 kwa upande wa jengo la abiria. Naibu Waziri Kihenzile […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais William Ruto amelivunja baraza lake la mawaziri na kuziacha nafasi mbili pekee-ya Kiongozi wa mawaziri na Waziri wa Masuala ya Kigeni Musalia Mudavadi na afisi ya naibu wa rais Rigathi Gachagua . Amesema atachukua muda kufanya majadiliano ya kuunda baraza jipya la mawaziri litakalohusika na uendeshaji wa serikali. Mara moja […]