BIASHARA
April 25, 2024
290 views 29 secs 0

ZAIDI YA WAKULIMA 13,158 WANUFAIKA NA HUDUMA ZA UGANI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024 imenunua leseni za kudumu 143 ili kuwezesha vifaa vya kupima afya ya udongo (soil scanner) kufanya kazi iliyokusudiwa. Aidha, hadi kufikia tarehe 24 Aprili, 2024 jumla ya sampuli 14449 katika mashamba yenye ukubwa wa ekari […]

BIASHARA
April 17, 2024
347 views 5 mins 0

BANK YA MAENDELEO YAZIDI KUKUA KATIKA UCHUMI KWA FAIDA YA ASILIMIA 66

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mambo Mengi  yameendelea kuonekana kwa benki ya โ€˜Maendeleo Bank Plcโ€™ ambapo kwa mwaka 2023 matokeo ya kifedha yameonesha kukua kwa faida kwa asilimia 66 baada ya kodi na kufanya faida baada ya kodi kuongezeka hadi shilingi Bilioni 2.3 kutoka shilingi Bilioni 1.4 mwaka 2022 kutokana na uimarishwaji wa njia […]