KWALA INAVIGEZO VYA KUHUDUMIA KONTENA 300,000 KWA MWAKA MARA 3
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI: BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani ina uwezo wa kuhudumia kontena 300,000 kwa mwaka ni mara tatu ya Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa. Msigwa ameeleza hayo leo Machi 16 wakati akizungumza waandishi wa habari eneo la bandari hiyo, ambapo […]