WIPO,ARIPO,UDSM,NA BRELA WAKUTANA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU MBALIMBALI ILI KULETA CHACHU YA MAENDELEO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu ‘Duniani World Interllectual Property Organization’ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanatoa mafunzo kwa wakufunzi watakaokuwa na jukumu la kufundisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu na faida […]