VITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *๐Taasisi 3000 zaunganishiwa umeme na fedha za Covid 19* Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili Bย (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya kuwapata wakandarasi wa mradi huo imeshatangazwa na inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. […]