SERIKALI YATUNGA KANUNI KUZUIA WAGENI KUINGIA KWENYE LESENI NDOGO ZA UCHIMBAJI MADINI BILA UTARATIBU
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama maalum kwa ajili ya […]
WAZIRI MKUU: SERIKALI KUENDELEZA MABONDE NCHINI
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo upatikanaji wa maji na nishati ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na mafuriko. Amesema moja ya mkakati uliochukuliwa na Serikali ni kuunda mamlaka za mabonde zenye wajibu wa kufanya ufuatiliaji wa mwenendo upitishaji maji na […]
BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA TAMISEMI TRILIONI 11.78 KWA MWAKA 2025/2026
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake. Kwa mujibu wa Waziri Mchengerwa […]
TPDC, ZPDC ZAENDELEA KUSHIRIKIANA UENDELEZAJI SEKTA YA GESI NCHINI
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC) ambapo kupitia ushirikiano huo masuala mbalimbali yamekuwa yakifanyika kuiendeleza Sektaย ikiwemo kubadilishana ujuzi na utaalam. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo […]
VITONGOJI 9000 KUSAMBAZIWA UMEME MWAKA 2025/2026- KAPINGA
*๐ Majimbo yaendelea kufaidika na mradi wa umeme wa Vitongoji 15.* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Mhe. Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea sasa, […]
KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 โ KAPINGA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ย Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/- ๐ย Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bitekoย amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya […]
KAPINGA BEI YA UMEME TANZANIA NI NAFUU KULIKO NCHI NYINGINE ZA AFRIKA MASHARIKI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti* Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku kwenye gharama ya mwananchi kununua […]
MRADI WA TAZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME MAFINGA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐ *Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme* ๐ *Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme* DODOMA Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitiaย Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) inatekeleza Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo Mkubwa wa Kilovolti 400 waย Tanzania na Zambia (TAZA) kupitia […]