Katibu Mkuu wa National League for Democracy (NLD), Awaita G55
Baada ya wanachama wa CHADEMA wanaotokana na kundi linalojitambulisha kama G55 ndani ya chama hicho kuzungumza na waandishi wa habari, tarehe 22 Aprili 2025, na kueleza kukata tamaa kwao kutokana na kile walichokiita kiburi cha viongozi wao, hasa baada ya viongozi hao kushindwa kusaini kanuni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, hali inayowanyima haki […]