CUF YATAKA HOTUBA ZA BAJETI KUELEZA SABABU SERIKALI KUSHINDWA KUTEKELEZA MPANGO WA TATU WA MAENDELEO
NA MWANDISHI WETU CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetaka Hotuba za Bajeti mwaka huu zichambue sababu za kutofanikisha malengo ya Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 6, 2025 na Mwenyekiti wa Chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba Wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya mtazamo wa […]