GAVANA BWANKU AONGOZANA NA WATENDAJI KUKAGUA UJENZI WA DARAJA KUBWA LA KISASA LA KALEBE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Ni Daraja linalotesa Wananchi wakati wa mvua, Rais Samia aidhinisha Bilioni 9.7 linajengwa jipya la kisasa. Kukamilika Novemba._ Hakuna cha Jumamosi wala Jumapili, Katerero ni kazi juu ya kazi. Mchana wa leo Jumamosi Aprili 19, 2025 Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku akiongozana na Kaimu […]